Yeye ujazo nadhani ni 50 na 100 mls only
Asante..kwa maana nilikuwa naitaji mzigo ata PC 12 kwa bei ya jumla..kwa ujazo mdogo kwa maana wateja ninaoenda kuwauzia nikwabei ya chini kidogo...Ila kwa huo ujazo wake ni mzuri ila ningepata chini ya hapo ingependeza...
 
Kuna wachina wapo pale Ubungo business park wanauza vitu hivyo. Ngoja nikutafutie na namba ya mtu ninaemfahamu nae anauza bidhaa hizo pia
 
Wanapouza boxer za kiume za mpira mfano wa tight au tight za kiume.

Tupeane chimbo wakuu.
 
Mimi ni electronics technician, wapi ntapata vifaa vya kutengenezea simu la laptop.
Vifaa Vya Kawaida (Basic) Vinapatikana Kariakoo Mtaa Aggrey Na Likoma.

Vifaa Vya Utaalamu Zaidi (Advanced) Lazima Uagize China Via aliexpress Au Alibaba.

Goodluck.
 
Vifaa Vya Kawaida (Basic) Vinapatikana Kariakoo Mtaa Aggrey Na Likoma.

Vifaa Vya Utaalamu Zaidi (Advanced) Lazima Uagize China Via aliexpress Au Alibaba.

Goodluck.
Shukrani mkuu. Unaweza ukawa unajua duka specific kabisa ambapo nitapata kununua kwa bei ya jumla vitu kama RAM, HDD, screens za laptop na simu, batteries, adapters.
 
Back
Top Bottom