sawa vingine ukitaka unasema tu nakuelekeza! ninavyovijua pia nitakua nakuongezea machimbo mapya maana supplier wengine wanafilisikaga hahaaahaa
Umeni inspire Sana
Ninataka kuanza biashara nitajitahidi
 
Start

Wanajamii naomba kujuliashwa maduka ya jezi oriGinal na ziwe UniQue kidogo sio za kufanana sana bei yeyote tu

Am wait
 
Nahitaji sehemu nzuri ya kufanya biashara yangu ya nguo, mikoba na viatu kwa jumla Kariakoo, vitu natoa UTURUKI mwenye kujua namna au madalali wa kueleweka anitonye
 
Wadau naulizia chimbo la kupata zile kamba za kuvaa shingoni za kuning'inizia vitambulisho.
 
Back
Top Bottom