1979Magufuli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 578
- 2,423
Mkuu wa Wilaya ndio mwakilishi wa Rais, changamoto zote za wilaya lazima zianzie kwa Mkuu wa Wilaya kabla Mkuu wa Mkoa hajaingilia kati.
Sheria ya Tawala za Mikoa Na.19 ya Mwaka 1997 kifungu cha 14 na 15 vinamtaja DC kama msimamizi mkuu wa shughuli za maendeleo katika wilaya.
Leo asubuhi tunaona katika mitandao ya kijamii wafanyabiashara wa simu2000 wamehasishana kuibeep serikali na kuzuia shughuli za biashara zisififanyike leo, kibaya zaidi badala ya kufunga biashara zao wao wamefunga barabara, barabara na biashara zenu zinahusiana nini?.
Barabara inadili na abiria na wenye mabasi nyie mnauza nguo na biashara nyingine, mnafunga barabara iweje?
Halafu anakuja DC mwakilishi wa Rais kuwasikiliza na kutatua kero zenu mnamzomea na kumtukana na kumdhalilisha, kweli?
Mimi naishauri serikali huku tuendako sio kuzuri, hawa kuna watu nyuma yao wanachochea, serikali haiwezi kuhangaishwa na wajinga hawa ambao hawana hoja.
Itifaki za serikali kwanza zinataka Mkurugenzi wa manispaa afike, akishindwa anaenda DC, akiona mambo magumu anamjulisha RC na baadae sasa Waziri mwenye dhamana anakuja.
Sasa unamkataa DC ili iweje? Unatafuta nini zaidi ya hatua za kisheria. Serikali ikifunga soko hili mtalia na nani nyie wahuni wa Simu2000.
Akili za kuambiwa changanya na za kwako, mmepewa 4 R tuishi kwa amani, upendo, mshikamano lakink naona mnataka kuvunja 4 R za kiongozi wa nchi.
Serikali ikose mapato kwa sababu ya ujinga wenu, No, No.
Pia soma ==>> Machinga wa Soko la Simu2000, Dar es Salaam wagoma na kufunga barabara asubuhi ya leo, Julai 8, 2024