UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,397
- 1,011
Mimi nilishangaa sana sana hawa watu wanapoonekana siyo wa muhimu.Nilichojifunza ukiona marais wa dunia wakitembelea nchi yoyote mara nyingi utakuta wanaongozana na wafanyabiashara na hawa ndo wanaoshikilia uchumi wa dunia.
Angalia wanavyotutesa na suala la sukari na hili ni dogo tu na nchi nzima sukari ni tatizo leo nimenunua sukari 2800 na muuzaji anakupa maneno ambayo siyo vizuri kuyaandika ila hili limeletwa na mambo madogo madogo tu.
WAFANYABIASHARA TUSAMEHENI KAMA TULIWAUDHI SEHEMU TAFADHALI