Wafanyabiashara mnaotumia WhatsApp Status kutangaza biashara zenu karibuni niwakumbushe

Nzuri sana hiyo mkuu.
Pia unaweza kuwa na vitu tofauti na biashara. Mfano ushauri wa kutumia bidhaa zako au ukaamua kuweka na jokes watu wakafurahi yaani mtu akiona status yako tu basi anajua kuna kitu atapata. Aidha atacheka na kufurahi au ataona kitu kipya zaidi.
Ku-Mute mtu kwa sababu ya biashara zake ni utoto tu kwa sababu unaweza kuacha kufungua status zake na maisha yakaendelea. Sio lazima kusoma status zake za WhatsApp. Ila ipo siku utaona kitu kizuri
 
Kichwa kichafu upo sahihi Mkuu niliwahi pata Elimu kidogo kutoka kwa Prof wa matangazo alinidokeza baadhi ya haya uliyoyaandika kwenye matangazo ya biashara mafupi mafupi na bidhaa za kuuza maana alilisitiza pia unapofanya biashara angalia utafanya ipi kwa muda mrefu itakupatia hela na pia kuacha tabia ya kuruka ruka leo umeiacha hii umehamia ile unapoteza wateja uliowajenga mwanzo...inatakiwa kufanya tafiti mwanzo ya kutosha ili kuifanya hiyo biashara kuuza na upatikanaji wake...
 
Shukrani mkuu.

Back
Top Bottom