Wafanyabiashara kutoka Tanzania kufuata mizigo ya bei nafuu Uganda, imekaaje?

Serekari ya Uganda unachukua kodi kiasi. Hivyo wafanya biashara wao wanauza bei raisi.tofauti na mfanyabiashara wa bingo alielipa kodi kubwa kwa bidhaa ile ile. Atuwezi nunua na kuuza tena kwa jumla. Lila ukinunua Uganda unakuja una jumla. Ile kanuni ya kodi ya ku- uplift bei ni ya ovyo sana. Yani ukinunua gari Dora mia ata kama umelipia bank na una slip wap anafanya mara tatu kuwa ndio bei harisi. K isha wanatoza kodi kwa bei Yao.mtaisoma namba.
 
Hata vifaa vya Simu uganda ni bei rahisi ukilinganisha na dar..Ukweli ni kwamba hapa ubora wa bidhaa na kodi wanayolipa ni sabb ya wafanyabiashara wengi kwenda kuchukua mzigo kule licha ya mzigo mwingine kupitia hapa dar ila bado ukiufata kule ni bei rahisi tofaut na hapa kwetu
ngoja nikanunue iPhone 7 uganda
 
Nilimanisha. Mganda na mTZ wakienda kuchukua nguo say kwa dola 5. Either guangzo au shangai wareva.
Mtanzania 5×2500= 12000 TZ sh
Uganda pia dollar ina range kwenye 2500 itakua pia 12000 ug sh.
Sasa inamaana ukibadilisha 12000 itakuja 8000 ya tz kuliko uyichue kwa 15000 bora uende ug ununue kwa 8000. Cjui kama tupo sawa. Mwenye kufanya biashara mwengine atowe uzoef tafadhali


Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
Hueleweki kabisa.

Hesabu ulizotoa pia ni fake.
 
What I know watu wakienda Dubai let say.
Wote wa Tanzania na waganda wananunua bei moja. Either ya Dilham au dollar au Yuan kama ni China sasa wakirudi nchini mwawo say nguo imenunuliwa dollar moja ambao nisawasawa na 2400 ya TZ.
Then uganda ni sawasawa 2400. Sasa waganda hiyo nguo atayiuza 5000 ya uganda na mbongo atauza 5000 ya Tz. Sasa hapo ni sawa na 3500 Tz.

Kinachotokea ukiwa unachukua mzigo mkubwa unajikuta ume save sana. Nina uzoef katika sector hii uliza utajibiwa kwa ufasaha

Mkuu iangalie tena hesabu yako,haiwezekani dola moja ikawa 2400 kwa Uganda na Tz ikawa 2400

Wakati huo huo 5000 ya UG ikawa sawa na 3500tz.
 
Hueleweki kabisa.

Hesabu ulizotoa pia ni fake.
I see kusema kweli huyu mtu sijui anaandika kiarabu...hawezi kuandika na kutoa ufafanuzi ukaeleweka kabisa...Najua anayopoint kichwani ila kuiweka sawa ikaeleweka nadhani ndio tatizo lake
 
Naomba elimu juu ya jambo hili maana nipo ktk plan ya kwenda uganda au kenya kwaajili. Ya ishu hyo
 
Kampala bidhaa kama nguo, viatu and the like ni very cheap-walishaingia kwenye nchi ya viwanda.
Kwa upande wa vipuri na vifaa vingine bado ni cheap sana licha ya kuingizwa UG kupitia Kenya. Bei iko chini kutokana na pesa yao kuwa chini ya Tz shilling hivyo ukiingia UG na laki 3 kama ni nguo na viatu tu unakuja full kama faru fausta.
Sasa naomba kuuliza,nimesikia Kenya mabalo ya mitumba grade 1 ndo ipo quality kuliko nchi yoyote ya ukanda wa Afrika mashariki,hili unalionaje ukilinganisha na mitumba ya Uganda?
What I know watu wakienda Dubai let say.
Wote wa Tanzania na waganda wananunua bei moja. Either ya Dilham au dollar au Yuan kama ni China sasa wakirudi nchini mwawo say nguo imenunuliwa dollar moja ambao nisawasawa na 2400 ya TZ.
Then uganda ni sawasawa 2400. Sasa waganda hiyo nguo atayiuza 5000 ya uganda na mbongo atauza 5000 ya Tz. Sasa hapo ni sawa na 3500 Tz.

Kinachotokea ukiwa unachukua mzigo mkubwa unajikuta ume save sana. Nina uzoef katika sector hii uliza utajibiwa kwa ufasaha
 
Na mfanyabiashara pia wa kibongo nae anatamaa sana kwa mfano bongo wenye uwezo wa kusafirisha mzigo toka china wachache sana nae akuna uwezekano wa yeye kuuza direct bidhaa anaweza akawa na mawinga yani watu wake wa kumuuzia hao ni wabaya sana upandisha bei karibu mara mbili mfano sunda walikua wanauza rejereja tiles na vifaa vyao vya kilimo leo wamekua wauzaji wa jumla wakati wanauza bei ya rejareja tiles grade one ilikua bei poa 23000 hadi 20000 leo wanauza jumla tu na wanunuzi ni maduka ya kariakoo wengi wao sasa hao middlemen ndo balaa kwa bei juu mana unaangaliwa ukiwa mjanja poah ukiwa mzembe unapigwa
 
Back
Top Bottom