Wafanyabiashara feki wa Hai Mutaendelea kumlaumu Mkuu wa wilaya, Huyu mtu ni Hodari kuliko wengine

Alipoenda kukata maua ya Mboe nikajua tuu jamaa dish limecheza sasa hivi lazima aondoke labda teuzi zisiwepo ashukuru mambo ya chama aendelee kujiweka mkao wa kuondoka hapo...
 
Hivi kazi za taasisi za usimamizi wa kisector kazi yake ni ipi?

Huyu mkuu wa Wilaya ni bogus kuliko wote. Na hajui maana ya madaraka na mgawanyo wa madaraka.

Mamlaka za usimamizi wa pharmacy au afya, zinafahamika yeye alipaswa kuzitask hizo mamlaka zichukue hatua.

Kwenda yeye kila mahali ni kutokujua chain of command na kushindwa kuwasimamia wale aliyopaswa kuwasimamia badala yake yeye anafanya kazi zao.

Huwezi kuwa mkuu wilaya, uwe takukuru, uwe polisi, uwedaktari wa Wilaya, uwe mwenyekiti wa Chama etc Sasa hao wenye hivyo vyeo watafanya Nini?

Akifika siku Kama ya Leo next wiki akiwa bado ni mkuu wilaya ashukuru Mungu maana wiki ijayo Mama anashika hatamu.
 
Nawe ni wale wale tu! Yaani hata hili unaona kakosea! Wangapi wameumizwa na biashara za kizembe kama hizi? Huyu kijana abaki ili mshike adabu.
 
Nawe ni wale wale tu! Yaani hata hili unaona kakosea! Wangapi wameumizwa na biashara za kizembe kama hizi? Huyu kijana abaki ili mshike adabu.
Nawe ni fala Kama huyo hujui maana ya uongozi. Hivi ni sahihi Rais akamshike muuza madawa? Vyombo husika kazi yake ni Nini? Tumia vyombo vifanye kazi yao.
Pia kutwa kutembea na vyombo vya Habari anasahau mahakama pekee ndio inaweza kumtia mtu hatiani lakini utaona mtu anapewa hukumu hata kabla ya mashitaka.

Utawala Bora uko wapi? Robinson Crusoe hakua na tabia ya kindezi Kama yako
 
Ni swali lakini mimi nimefikia hatua ya kumsifu Mkuu huyu wa Wilaya.
Jionee mwenyewe uhuni wa wasiosikia na kuheshimu binadamu wenzao.

View attachment 1767936
Ndio maana wabaya wake wanatumia nguvu kubwa kutupia picha mjongea kwamba ananyanyasa raia kumbe anatekelezaji majukumu yake biala aibu kwa faida ya wote.

Hakuna mtu yeyote anayetenda mema kwa faida ya wengi hupendwa na waathirika wa unyonyaji. Ukiona kiongozi anasifiwa bila ya kile kinachomfanya asifiwe kikionekana kwa macho halafu kundi dogo linatumia rasilimali nyingi kumkashifu tambue huyo SIO ila kuna siri upenuni
 
Back
Top Bottom