Wafanyabiashara DODOMA mnanufaikaje na mkutano mkuu wa CCM

Airmanula

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
3,761
5,245
Dodoma ni mji mkuu wa Tanzania, na sasa ndio makao makuu ya serikali, hivyo ofisi nyingi zimehamishiwa mjini humo.

Kuna mkutano mkubwa wa CCM unaondelea mkoani hapo, mfanyabiashara karibu u share nasi umenufaikaje au unanufaikaje na mikutano hio inayoendelea hapo mjini DODOMA hivi sasa.

Wale wafanyabiashara kama za kuuza chakula, restaurants, lodge na hoteli za kupumzika, usafiri wa bajaji au bodaboda naamini mnaendelea kufaidika na mkutano huu.

Karibu utuelezee unanufaikaje.
 
Back
Top Bottom