Wafanyabiashara changamkieni soko la samaki Mwanza

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,037
9,953
Nawashauri wafanyabiashara muanze kupeleka samaki wa maji chumvi mwanza simiyu shinyanga geita na kahama.

Mkiweza kupeleka samaki akina ya changu ngisi na pweza mtakuwa mumefanya la maana sana. Sasa hivi watu wameogopa kununua samaki wa ziwa victoria kutokana na uhalifu unaoendelea.
 
Kwanza samaki wa maji chumvi ni watamu kuliko hawa ziwa victoria, pia hawana sumu zinazopatikana kwenye samaki wa ziwa victoria kama DDT Mecury na cynide. Pia sasa hivi kuna sumu mbaya sana ya Nitrogen sulphide inayotumika kuoshea marudio ya dhahabu.
 
Back
Top Bottom