kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 17,334
- 21,429
Nimesikia habari nyingi kuwa mtu anaweza kwenda kwa mganga akaagizwa lete maji ya maiti au nywele,jino,kucha,kidole na kadhalika katika viungo vyote vya mwanadamu,lakini cha kushangaza mteja anapoonyesha woga humwambia nenda chumba cha maiti kafanye mpango au nipe pesa vitu hivyo mimi nitakuletea,je ni kweli watu hawa wanaushirikiano?