Wafanya biashara waliopoteza mali zao kwa mlipuko wa moto Soko la Karume kusaidiwa,..

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,797
23,074
Habari wana Jamii Forums,..

Nimefarijika kusikia wale wafanya biashara waliopoteza mali zao kwa mlipuko w a moto katika soko la Karume waandkishwa majina yao ili yapelekwe kwenye taasisi za kifedha ili waongezewe muda wa kulipa mikopo yao.

My Take: Pamoja na Serikali kuwasaidia kwa hili pia wapatiwe mikopo yenye riba nafuu ili waweze kurejesha mikopo waliyokopa kutoka taasisi za kifedha.
 
Sorce; Mzalendo!
 
Ni kutokujua tu,taasisi za fedha miaka hii huwa na bima za mikopo so ni jukumu lao kwa sasa kufuta hiyo mikopo kwa hao wafanyabiashara,kuna baadhi ya taasisi kama FINCA,NMB n.k,bima ya mikopo ni bure kwa mteja na janga kama hilo likitokea mikopo hufutwa na mteja halipi tena huo mkopo coz amepata janga,nowdays ni taasisi chache sana za kifedha zisizo na bima,so kulikua hakuna hata haja ya kuandika majina,ni knowledge gap tu ambayo wafanyabiashara hawana.
 
Lile tukio la moto ni Force Majeure kwa hilo hiyo mikopo inatakiwa kufutwa...
 
Habari wana Jamii Forums,..

Nimefarijika kusikia wale wafanya biashara waliopoteza mali zao kwa mlipuko w a moto katika soko la Karume waandkishwa majina yao ili yapelekwe kwenye taasisi za kifedha ili waongezewe muda wa kulipa mikopo yao.

My Take: Pamoja na Serikali kuwasaidia kwa hili pia wapatiwe mikopo yenye riba nafuu ili waweze kurejesha mikopo waliyokopa kutoka taasisi za kifedha.

Sorce; Mzalendo!

Hata hizo taasisi za fedha zina insurance kukava loss za wateja wao
 
Back
Top Bottom