Wafamasia wa Wilaya acheni roho za kwanini

Dejane

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
49,653
68,604
Hivi kazi ya mfamasia wa wilaya ni ipi?

Acheni kubania watu wafungue maduka ya madawa/famasi

Mbona mnakuwa mna roho mbaya kiasi hicho cheo kidogo unataka watu wakutetemekee wakusujudu ,ofisini hamshindi mnataka wananchi wahudumiwe na nani?

Yaan ukitaka fungua duka la madawa ni tabu kweli acheni watu wajitafutie riziki acheni kubana

Kuna huyu mfamasia wa wilaya ya ilemela Mwanza anasumbua sana na kuona ofisi kama ni yake na watu wengi tu anawabania na wanakuwa wana vigezo vyote sasa sijui unafanya hivyo kwa maslah ya nani?

Mwenye kumjua huyu kijana mwambieni aache kufanya kazi kwa roho mbaya na ya kwanini watu wengi kweli wanahangaika na yeye

Labda wenye kujua kazi ya mfamasia katika ofisi ya wilaya kazi zake ni zipi?

Na Kama akishindwa kusaidia twende wapi ili watu wasaidiwe

Si mnasema watu wajiajiri kwenye kujiajiri napo mnabana
 
Jiongeze vinginevo utapoteza muda, utachosha akili, utatengeneza maadui na hiyo biashara itakuwia chungu
 
Back
Top Bottom