Uchaguzi 2020 Wafahamu watu 75 waliokuwa wabunge wa CCM walioliwa kichwa na kukosa uteuzi. Wamo Mwakyembe, Tizeba, Nkamia, Chenge, Adadi, Ngeleja, Masele nk

Wajumbe wengine walikubaki kupokea Rushwa!
Mwenyekiti mwenyewe ilitoka form moja tu yakwake tu akapipita bila kupingwa mwenzake Tundu Lissu walichuka form wengi ndani ya chama chao na Lissu akaibuka mshindi kwaiyo ccm ni mazingaombwe matupu aijulika nfumo gani tunatumia kupata wangombea chama kimekua mali ya kikundi cha watu wachache ngoja tuuze ramani kwa maadui tukose wote ukimwaga mboga namwaga ugali ili twende sawa
 
Return Of Undertaker,
Mkuu wewe ni pumba samahani sana. Hiki ulichoandika kinakosa ukweli na inabidi kiitwe dis information.

Kama una uelewa wowote tofautisha kati ya wale walioshindwa kura za maoni na waliokatwa au kuenguliwa kugombea ubunge, japo wameshinda kura za maoni.

Tukiwa na waandishi aina yako Tanzania inakosa kuwa na waandishi makini na wenye weledi wa habari.
 
Fake news.

Mtu kama Tibaijuka kakataa mwenyewe na kaaga na kuaga bungeni, hapa wanamchanganya na waliokatwa. Vile vile Nimrod Mkono, hakutaka hata kuingia kura za maoni. Au mtu kama Lijualikali, wamemuingiza mpaka Lijualikali kwenye hiyo listi. Hivi Juakali alikuwa mbunge wa CCM ????

Which means kuna wengi humo si ajabu wamekataa wenyewe kuendelea.
 
Fake news.

Mtu kama Tibaijuka kakataa mwenyewe na kaaga na kuaga bungeni, hapa wanamchanganya na waliokatwa. Vile vile Nimrod Mkono, hakutaka hata kuingia kura za maoni. Au mtu kama Lijualikali, wamemuingiza mpaka Lijualikali kwenye hiyo listi. Hivi Juakali alikuwa mbunge wa CCM?

Which means kuna wengi humo si ajabu wamekataa wenyewe kuendelea.
Akili zako hazina akili
 
Mkuu wewe ni pumba samahani sana.
Hiki ulichoandika kinakosa ukweli na inabidi kiitwe dis information.

Kama una uelewa wowote tofautisha kati ya wale walioshindwa kura za maoni na waliokatwa au kuenguliwa kugombea ubunge, japo wameshinda kura za maoni.

Tukiwa na waandishi aina yako Tanzania inakosa kuwa na waandishi makini na wenye weledi wa habari.
Andika yako Bhasi wewe muandishii makinii...!!
 
Back
Top Bottom