Uchaguzi 2020 Wafahamu watu 75 waliokuwa wabunge wa CCM walioliwa kichwa na kukosa uteuzi. Wamo Mwakyembe, Tizeba, Nkamia, Chenge, Adadi, Ngeleja, Masele nk

Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
11,131
2,000
Orodha ya waliojiuza CCM na hawakuteuliwa kugombea please...
 

Somoche

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
5,248
2,000
Tuambieni kiutafiti hao walioshindwa au kukatwa walikua wanakubalika?? Je kama nchi tutakosa nini kutoka kwao??

Mimi nitamkosa Mzee Chenge..Mtu aina ya Chenge ni Guru, hawa hata Kule Us wanakua sasa Masenator.

Chenge ni Mbobevu kumkosa kule ndani naamini halikua jambo zuri/ sahihi.

Mtu Mwingine ambae tutamkosa au kimmis ni Peter Serukamba naona alikua na uthubutu na hilo ni jambo jema kisiasa.Lakini yote kwa yote wameshakatwa maisha yataenda mbele.

Anguko baya zaidi kwa wote ni Kange Lugola..Kutoka kuwa Waziri Wa Mambo ya ndani katika kipindi kifupi tu mpaka kuwa raia wa kawaida.Yeye nadhani atakua balozi mzuri kwamba kweli cheo no dhamana na kwamba hivi vyeo vya umma kweli ni vya umma.

NIWATAKIE kila la kheri nyote mliokatwa katika maisha mapya.
 

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,310
2,000
Rose mwanjelwa
Mendrad kigolla

Nawengine umewashau

Rose Mwanjelwa ni yule clip yake ilivuja....?
Maghembe
Nagu
Chenge
Kawambwa
Mkono
Kamata
Toka nazaliwa nawasikia ni wabunge.....na sasa nina miaka 52......watoke tu damu changa zifanye kazi.......
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom