Uchaguzi 2020 Wafahamu watu 75 waliokuwa wabunge wa CCM walioliwa kichwa na kukosa uteuzi. Wamo Mwakyembe, Tizeba, Nkamia, Chenge, Adadi, Ngeleja, Masele nk

Wewe umepewa List ya watu waliokatwaa Kama kuna wengine Wamepatiwaaa bhasi pia kuna kukosea piaa so soma chukua kinachokufaaa sepa sio kuanza kukosoa alipokoseaa alafu unamshikia mtoa mada bango ebu andaa yako uliyoipatiaa bhasii.. wabongo bhana mmekaa kutafuta makosaa tuu...!!

Sena chenge na ngelejaa wangejikataa mapemaa tuu Mkuu muongezee na Steven Wasiraa hapoo kiufupi hata Bashitee hakutegemea alichokiona ni kama Kakatwaa tuu...
 
Wapinzani mnapenda sana kupiga ramli. Haiwezekani bunge jipya lisheheni wabunge wote wa zamani lazima kila bunge jipya liwe na wabunge wapya walau nusu ili kupata mawazo mapya na bora zaidi.
Kama ulimsikiliza Polepole ameelezea vizuri kwa nini hao wamepitishwa kugombea.

Hiyo timu ya CCM iliyotangazwa ni timu ya ushindi na inaenda kuwagaragaza wapinzani vibaya kuliko hata mwaka 2015.
Hakuna Mbunge wa ccm mwenye mawazo mapya wote ni ya le yale ya siku zote kupiga meza
 
comment yako ya "akili hazina akili" ni ya mtu ambae hakufanya vizuri darasani
🤣🤣🤣Ulifanya vizuri wew una nn? Cha kujivunia? Unakaa kwa shemeji yako, Gari huna, nyumba huna, mke huna, watoto huna, mifugo huna, mashamba huna hata kakiwanja tuu huna ,nunuwa hata kule chanika mwisho...
Sikufanya vizuri Ila Nina Degree, CPA(T) na Masters Nina mke, watoto wawili, nyumba, Gari na siyo vile vyombo vya usafiri, mashamba yapo kisarawe na mifugo iko huko

Ndiyo maana nimesema akili yako haina akili 😃😃😃😃 una stress za kukaa kwa shemeji na kubeti
 
Pole, tunataka sura mpya na mawazo mapya.
Mawazi mapya hayapatikani ndani ya Sera zile zile kila mwakaa zisiofatwa na kutekelezwa na mtu tofauti wa chama hicho hicho yani sawa na Kubadilisha Dereva wa Gari Bovu ukitegemea litakuwa zima kisa umebadili dereva
 
Mawazi mapya hayapatikani ndani ya Sera zile zile kila mwakaa zisiofatwa na kutekelezwa na mtu tofauti wa chama hicho hicho yani sawa na Kubadilisha Dereva wa Gari Bovu ukitegemea litakuwa zima kisa umebadili dereva
Katika ushindani gari iwe bovu au imara dereva yule yule miaka nenda rudi anachosha.
 
Back
Top Bottom