Wafahamu watu 20 Matajiri zaidi katika Soko la Hisa la Dar es Salaam

Harold Temu from Marangu:-, huyu jamaa alifiwa na mzazi wake, huo msiba ulikuwa na Ambulance, watu alikata maji kama mamba ukizidiwa na pombe unapandishwa kwenye ambulance kupelekwa hospital.

Ndio watu wa mwanzo mwanzo kufanya biashara ya kusaga mahindi na kuuza unga kwenye mifuko/viroba

John Machange from Mwika ni Engineer by professional, alisoma Computer huko Ulaya enzi hizo computer haijafika Tanzania.

Huyu mzee alimpaga hela mdogo wake amtengenezee tofali za kujenga gorofa pale kijijini, Machange alivyokuja akaziangalia zile tofali, akachukua kama tofali 5 akazitupa hapo chini zikavunjika.

Akaamua kumpa mdogo wake tofali zote bure akafyetua nyingine akajenga gorofa pale kijijini miaka hiyo ya zamani. Wazee wa mwanzo kujenga gorofa kijijini.
Heh, basi nilijua machange si mchagga mwenzetu.

Massive respect kwake....
 
Pale Mwika kuna Machange mbili:-

Wanajiita Machange Ng'ombe - Matajiri

Machange mbuzi - Maskini

Wote ukoo mmoja
hapo pa kutofautisha masikini na matajiri. Yes, hiwa hizi koo zetu zimegawanyika sana. Hawa wazee wana hulka ya kuhamahama sana hasa pakiwa na ugomvi baina yao ama ardhi ikiwa adimu.
 
Machange, Shirima, Kilewo, Temu, Urassa, Lyakurwa, Macha. Chaggaz
 
Hisa zinatengeneza ajira Gani?
Hayo makampuni waliyoweka pesa zao si yana operate!? Mfano CRDB, NMB nk. Basi hao wanaofanya hizo operation yani kazi za kila siku ni waajiriwa hao, ma-CEO, wahasibu, hadi mtu wa chini kabisa kama mfanya usafi. Naamini umeelewa kidogo...
 
E
Hayo makampuni waliyoweka pesa zao si yana operate!? Mfano CRDB, NMB nk. Basi hao wanaofanya hizo operation yani kazi za kila siku ni waajiriwa hao, ma-CEO, wahasibu, hadi mtu wa chini kabisa kama mfanya usafi. Naamini umeelewa kidogo...
EHwaa Asante sana
 
E

EHwaa Asante sana
Pamoja, naona humu badala ya kujifunza tunabishana ukabila aisee. Tz tunashida sanaa. Mimi sio mchaga lakini najua baadhi ya tamaduni zao, ni wawekezaji wazuri sana, hawaogi ku risk pesa zao kwa hofu ya kufilisika, wapambanaji ndio maana wapo sehemu nyingi hapa Tanzania, wanajua kudeal na pesa ndiyo maana wanaitwa wabahiri coz hawezi tumia pesa kwenye kitu ambacho hakitamuongezea pesa.
 
Back
Top Bottom