Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 14,005
- 20,301
sisi wa Lindi na Mtwara tunafeli wapi? yani wakitoka WAhindi wanakuja WACHAGGA.Chagaz they deserve
sisi wa Lindi na Mtwara tunafeli wapi? yani wakitoka WAhindi wanakuja WACHAGGA.Chagaz they deserve
Hata Bakresa ana hisa chache. Mabilionea wengi tu hapo hawapo. Mimi naona ni sawa kwasababu wanapiga hela kupitia makampuni yao binafsi.Sijamuona Mo Dewji hapo au yeye biashara zake ni za kienyeji zaidi!
Ni mtopoloo tuu huyo na uswahili unamsumbuaUna maanisha nini hapo? 👆
Utaanza kuoa kisha baadaye utaolewaThese Chagga aisee,ndo maana nawaza kuoa Massawe
Bora lilikufa tu. Shemeji zangu wachagga ni clean na ndiyo maana hata mafisadi waliofilisiwa na lile jitu na wahujumu Uchumi wachagga hawakuwepo. Ninashukuru kuoa kwenu na nimebalisha kabisa ule umaskini wa familia yetu. Salute shem zanguHalafu anatokea likabila limoja linasema "hawa jamaa wa KLM ni wezi na wanapenda kujisifia".
Watu wamewekeza kwenye hisa mpaka LSE na NYSE huko, hisa zikapanda nauza, zikishuka nanunua.
Unapouza share za kampuni yako kwa umma, hiyo kampuni siyo yako tena, hata kama unashare nyingi,, kwani kampuni yako inaweza kunyakuliwa kwa style ya hostile acquisition, na ukajikuta huna maamuzi juu ya kampuni yako mwenyewe,Naomba kuelimishwa, ni kwanini makampuni makubwa kama Azam na Mohammed enterprises hayapo Daresalaam stock exchange?
Je, kampuni kua listed DSE ni maamuzi binafsi ya mmiliki au ni takwa la kisheria?
Hili nalielewa, vipi kuhusu kipengele cha mwisho cha swali langu?Unapouza share za kampuni yako kwa umma, hiyo kampuni siyo yako tena, hata kama unashare nyingi,, kwani kampuni yako inaweza kunyakuliwa kwa style ya hostile acquisition, na ukajikuta huna maamuzi juu ya kampuni yako mwenyewe,
So azam, mo,, sidhani kama watakubali kusajili Dar stock exchange
Hisa ku generate kazi labda mfano CRDB iamue kuexpand kwa kuongeza matawi,, ila utoaji wake ajira haiwezi fanana na wa direct investment , kama mtu kuamua kufungua kiwanda, etcSawa
Ni hiariHili nalielewa, vipi kuhusu kipengele cha mwisho cha swali langu?
Kua listed ni hiyari ya wamiliki au ni takwa la kisheria?
Jiulize sasa kama Tuna Ubaya wowote na Hapa ukija kwenye Siasa Ajira Wanatubana eti wezi utadhan kuna chao tushakulaHalafu anatokea likabila limoja linasema "hawa jamaa wa KLM ni wezi na wanapenda kujisifia".
Watu wamewekeza kwenye hisa mpaka LSE na NYSE huko, hisa zikapanda nauza, zikishuka nanunua.
Utawaweza mkuu?These Chagga aisee,ndo maana nawaza kuoa Massawe
Wachaga sio wezi ni watumia fursa, hiyo issue ya wizi ni conspiracy tu wanafanyiwa Hawa jamaa na wavivu WA kuelezea mambo bila utafiti,yaan wanaona wachagga wamefanikiwa lkn hawataki kufanya utafiti kujua factor zipi zinabeba .Jiulize sasa kama Tuna Ubaya wowote na Hapa ukija kwenye Siasa Ajira Wanatubana eti wezi utadhan kuna chao tushakula
Machange nafikiri ni wachaga wamarangu na mwika kama sijakosea.Heh, basi nilijua machange si mchagga mwenzetu.
Massive respect kwake....
Kuorodheshwa ni takwa la mtu binafsi ukizingatia kuwa kuna masharti yao yanalenga zaidi kuweka wazi taarifa za kampuni Ili kuvutia wawekezaji wa nje na pia kuna sharti la kupunguzwa controlling interest ambalo wengi hawapendi.Naomba kuelimishwa, ni kwanini makampuni makubwa kama Azam na Mohammed enterprises hayapo Daresalaam stock exchange?
Je, kampuni kua listed DSE ni maamuzi binafsi ya mmiliki au ni takwa la kisheria?