Wafahamu WAJUMBE wa BODI ya Ngorongoro waliobugia chapati za Bilioni 1

mumburya

JF-Expert Member
Mar 19, 2012
321
448
1067891
 
Ndugai amesababisha Hata Watazamaji wa Tamthilia ya Sultan Na Fatma Gul Kuwa Wachambuzi wa Report ya CAG

Zamani Hii report tulikuwa tunasoma Wachache Sana Sasa hivi daaah Mpaka Jamaa zangu wa hovyo Hovyo tangu mchana wananirushia tu Clip Za Assad anavyopakaza badala ya kujali Mechi ya Man U Na Barca

Siku nyingine Ndugai kabla ya Kufanya jambo atazame impact, Leo Hii kukurupuka kwake kunachafua Chama Cha Taifa
 
Ukiwa Prof lazima Uwe Na akili ya Ziada Hata Kama hutaki kuzi tumia

Ile Kauli ya Assad kuwaambia Waandishi Kuwa Hata Kama hamtotoa hizi habari Basi tutasambaza wenyewe imewatoa Kwenye Reli maana wamejistukia Na hawajachuja kitu maana Kama vile kajua Kuwa waliambiwa wasiipe headline Hii habari
 
Ndugai amesababisha Hata Watazamaji wa Tamthilia ya Sultan Na Fatma Gul Kuwa Wachambuzi wa Report ya CAG

Zamani Hii report tulikuwa tunasoma Wachache Sana Sasa hivi daaah Mpaka Jamaa zangu wa hovyo Hovyo tangu mchana wananirushia tu Clip Za Assad anavyopakaza badala ya kujali Mechi ya Man U Na Barca

Siku nyingine Ndugai kabla ya Kufanya jambo atazame impact, Leo Hii kukurupuka kwake kunachafua Chama Cha Taifa
Hivi man u na Barcelona ni leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchambuzi wa wananchi ni zaidi ya mjadala wa genge liitwalo Bunge la Ndugai! Kila mtanzania kwa sasa ni mchambuzi mahiri wa ripoti ya CAG. Ndio maana kilio kikubwa Ripoti ya CAG iwe public document hayo mengine wajadili wasijadili.is up to them. Stupid!
 
Ndugai amesababisha Hata Watazamaji wa Tamthilia ya Sultan Na Fatma Gul Kuwa Wachambuzi wa Report ya CAG

Zamani Hii report tulikuwa tunasoma Wachache Sana Sasa hivi daaah Mpaka Jamaa zangu wa hovyo Hovyo tangu mchana wananirushia tu Clip Za Assad anavyopakaza badala ya kujali Mechi ya Man U Na Barca

Siku nyingine Ndugai kabla ya Kufanya jambo atazame impact, Leo Hii kukurupuka kwake kunachafua Chama Cha Taifa
ccm na russhwa ni sawa na mtu na skin tyit. mtu wa ccm kuzunguzia vita dhidi ya rushwa ni sawa na kuzungumzia usafi wa mazingira ukiwa tandale kwa tumbo au kwa bi nyau
 
Back
Top Bottom