mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,701
Kama haujawai kuwa mchawi kupokea maelezo yote kutoka Kwa mchawi sio valid maana shetani ni muongo. Kama majini yalimdanganya Yesu Kwa kusemahivy lipo Moja kumbe ni kikosi kizima. Yanawadanganya walokole wengi wanaoyapa maiki. Hata wachawi maelezo yao sio ya kuyaamini 100℅ unless umefuniliwa au wewe ulikuwa mchawi kbla