Wafahamu Nyangumi wa kipekee wa Oman na Sri Lanka wasiohamahama

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,191
13,614
Mzuqa!

Mimi ni mwanachama wa Atlantic whale and Dolphin foundation.

Sijawahi kumwona Nyangumi kwa macho hii ni ndoto yangu Mungu akijalia nitaitimiza.

Nimetoka sana kuwapenda hawa viumbe gentle giants hivi karibun.

Moja kwa moja kwenye mada.

Nyangumi wanatabia ya asili ya kuhama. Ikikaribia kipindi cha baridi winter wengi sana wanaelekea Antarctica kusini kula na kuzaa. Antarctica kuna Samaki wengi sana Krills na sardines kwa mabilion. Kwa muda wote huo wa winter wanapiga msosi wa nguvu ambao utadumu majira yote ya summer wanaporudi.

Kuna hawa nyangumi wa ajabu wa Oman na Sri Lanka ambao hawaami kabisa katika maeneo yao.

Nianze na hawa wa Oman kwenye Arabian Sea.

Ni aina ya Humpback na hii aina ni wahamaji wazuri sana cha kushangaza wenyewe wanababaki kwenye himaya yao Oman Arabian Sea. Na idadi yao inapungua sana sasa hivi wamebaki mia moja tu. Serekali ya Oman imejitolea kuwalinda wasitoweke Big up Omani kwasababu waarabu hawana sana muamko kwenye maswala ya nature. Idadi yao inapungua kwasababu ya uvuvi overfishing wa Samaki aina ya Krills na sardines. Hii kitu Inasiktisha sana.

Twende Sri Lanka.

Baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe kwisha ikaja kugundulika kuna aina ya ajabu ya nyangumi blue whale wasiohamahama kama blue whales wengine. Blue whale ndio nyangumi mkubwa na kiumbe mkubwa kuliko wote duniani. Yani hawa blue whale wa Sri Lanka hawatoki kabisa pwani ya Sri Lanka kwenye Indian ocean. Bado inawaumiza sana vichwa wanasayansi na sisi wataalam wa nyangumi.

Pongezi ziwaendee pia wavuvi wetu wa Kisiwa cha mafia kwa kulinda huyu Samaki aina ya Tigershark ambaye ni wa ajabu anapatikana tu hapo pwani ya Mafia. Wavuvi wamepewa seminar na hawawavui wala kuwaua.
 
Cc adriz Proved
 
Dah!...nzuri sana.

Kuna wale wanafika mpaka pwani wanapokuwa mawindoni (Killer whales) na kisha hurejea tena mpaka deep sea.

Nature is amazing...
 
Back
Top Bottom