Wafahamu Mastaa wanaotumia nguvu za Giza / ushirikina

Huyo bibi nasikia ni kiboko kwenye dawa za mapenzi na chango la uzazi.
Kwenye chango la uzazi kweli kuna mdogo alikua hapati mtoto mda sana baadae alipatia kwa yule bibi,hata kujifungua alipitiliza lakini alivyoenda pale kapewa dawa jioni anapelekwa mwananyamala kujifungua!!!

wengine ndo tulikua tunashinda huko unapigwa chale hadi za matako unashangaa ukitembea wowooo linatikisika tu
Hahahaaaa!!!! mjini hapa daah!Mimi nilipigiwa simu mdg wetu huyo aliyepata mtoto sasa,alimpeleka mwanawe alikua anaumwa vihoma vya kitoto hivi,sasa nafika nashangaa balaa...naambiwa kuna msanii katoka hapa sasa hivi....!!!
 
Jaman binamu unanivunja mbavu , chale za matako Tena ?🤣🤣🤣🤣🤣, shoga angu ushirikina umekukaa kwenye damu , yan umejua kunivunja mbavu aiseeh
 
Halafu na waganga mwenzangu hawanaga siri , wakienda wasanii wakubwa lazima watangaze kwa watu

Nasikia uwoya ilikua ndo zake tanga , alikua anamuomba pesa dogo janja halafu hizo hizo anaenda kumroga nazo tanga 🤣🤣🤣

Yan uwoya kwa ushirikina kila siku anachinja mbuzi tu huko tanga , bora abadilishe tu waganga , anajichoresha tu huko tanga
 
Wanazengo mmezidi kulalamika, mnaletewa umbea badala ya kusikiliza tu mkapita mnaanza midomo kushindana na Mimi , hivi mnajua connection yangu ? , mnanijua vizur? , nyie shukuruni tu nipo humu nawapa umbea siku zinaenda, siku nikipotea humu mtalia na kusaga Meno, maana najua mnavyopenda umbea kuliko kula , mnajua na risk sana maisha yangu kujitoa kafara kuanika mambo ya watu halafu nyie mnakuja midomo juu juu kama nyuchi za bundi mxiee , mnaniudhi mbwa nyie mjue? Yan Tena mkome kuanzia Leo , eti mnajifanya mnanichamba mbwa nyie wakati umbea tu ndo umewajaa, Leo nawapa onyo mbwa nyie mnikome mxieww

Turudi kwenye mada wale mnaopenda umbea na kusoma kimya kimya bila comment za karaha, ifuatayo chini ni list ya mastaa wanaotumia nguvu za giza/uchawi /freemason katika kazi zao , mji mzito huu , duniani kuna mambo nyie acheni tu , list inastaajabisha lakini Ndo ukweli usiopingika, wengine sitawataja maana mpaka mikono inatetemeka kuandika

1. alikiba
2. Diamond Platnum
3 . Irene uwoya
4. Anthony lusekelo
5. Mama rwakatale
6. Muna love
7. Lulu Michael
8. ....
9.....
10....
Mmmh hatari
 
warumi hawa wanaokupigia kelele sio kwamba hawakuamini tatizo umeleta habari ya watu wanaowapenda na kuwasujudu ndo maana wanakupigia kelele....ila hawa hawa wanakupongezaga ukileta ubuyu wa watu wasiowasujudu
 
Imekugusa eeeeh! Pole, Nikuzoe kwa lipi? Unanisaidia nn? Chambaa nikione hicho kichambo chako choko weee! Usinitishe nakuona fala tu, una nn ww? Mpaka ujilinganishe na mm, au una kunya keki unakojoa Juisi?
Nafanya kazi ya halali si muuza uchi, kazi kwako kauze kundu huko. Natafuta kiki kwa ID fake!
Chambaaaàa nataka ntembee uchi
Naenda kuweka simu chaji baadae ntarudi.
Unamfahamu warumi ?
 
Kwenye chango la uzazi kweli kuna mdogo alikua hapati mtoto mda sana baadae alipatia kwa yule bibi,hata kujifungua alipitiliza lakini alivyoenda pale kapewa dawa jioni anapelekwa mwananyamala kujifungua!!!

Ni kweli watu kibao amewasaidia.
 
Jaman binamu unanivunja mbavu , chale za matako Tena ?🤣🤣🤣🤣🤣, shoga angu ushirikina umekukaa kwenye damu , yan umejua kunivunja mbavu aiseeh

Tunahangaika na mengi ndugu yangu ww acha tu lkn kuna kitu kilinitokea kwenye maisha yangu siamini tena awe mganga wa jadi au anatibu kwa kitabu simuamini. Kwasasa nimeokoka naamini sana kwenye kuomba, kufunga na kusali kwa Imani sifa na utukufu zirudi kwa Bwana.
 
Bongo movies washirikna balaa...!!yaani wanarogana wanajifanya kusomewa kumbe hawana lolote...!!! Sasa dogo janja alikua anarogwa ili iweje?

Hawa wadada na wakaka zao wote...!!! Lao moja wanajifanya maustadhi kumbe hawana lolote
Halafu na waganga mwenzangu hawanaga siri , wakienda wasanii wakubwa lazima watangaze kwa watu

Nasikia uwoya ilikua ndo zake tanga , alikua anamuomba pesa dogo janja halafu hizo hizo anaenda kumroga nazo tanga

Yan uwoya kwa ushirikina kila siku anachinja mbuzi tu huko tanga , bora abadilishe tu waganga , anajichoresha tu huko tanga
 
Ameen ameen barikiwa sanaa
Tunahangaika na mengi ndugu yangu ww acha tu lkn kuna kitu kilinitokea kwenye maisha yangu siamini tena awe mganga wa jadi au anatibu kwa kitabu simuamini. Kwasasa nimeokoka naamini sana kwenye kuomba, kufunga na kusali kwa Imani sifa na utukufu zirudi kwa Bwana.
 
Umemsahau DIDA mwanwmke anapenda ULONZI kuliko kula alikuwa na mganga wake anaitwa SH 60 ukienda malipo kwake ni sh 60 kwa sasa anaroga sana Morogoro ndo maana kila weekend hakauki
 
Tunahangaika na mengi ndugu yangu ww acha tu lkn kuna kitu kilinitokea kwenye maisha yangu siamini tena awe mganga wa jadi au anatibu kwa kitabu simuamini. Kwasasa nimeokoka naamini sana kwenye kuomba, kufunga na kusali kwa Imani sifa na utukufu zirudi kwa Bwana.

Ndio hivyo , watu wanahangaika kutafuta tiba ya mambo yao , ilamradi tu hawadhuru watu wengine

Nimefurah kuwa umeokoka binamu na kuamua kurudi kwa muumba, mie shoga angu Ndo nataka kuanza ushirikina nikachanjwe hizo chale za matakoni🤣🤣
 
Wanazengo mmezidi kulalamika, mnaletewa umbea badala ya kusikiliza tu mkapita mnaanza midomo kushindana na Mimi , hivi mnajua connection yangu ? , mnanijua vizur? , nyie shukuruni tu nipo humu nawapa umbea siku zinaenda, siku nikipotea humu mtalia na kusaga Meno, maana najua mnavyopenda umbea kuliko kula , mnajua na risk sana maisha yangu kujitoa kafara kuanika mambo ya watu halafu nyie mnakuja midomo juu juu kama nyuchi za bundi mxiee , mnaniudhi mbwa nyie mjue? Yan Tena mkome kuanzia Leo , eti mnajifanya mnanichamba mbwa nyie wakati umbea tu ndo umewajaa, Leo nawapa onyo mbwa nyie mnikome mxieww

Turudi kwenye mada wale mnaopenda umbea na kusoma kimya kimya bila comment za karaha, ifuatayo chini ni list ya mastaa wanaotumia nguvu za giza/uchawi /freemason katika kazi zao , mji mzito huu , duniani kuna mambo nyie acheni tu , list inastaajabisha lakini Ndo ukweli usiopingika, wengine sitawataja maana mpaka mikono inatetemeka kuandika

1. alikiba
2. Diamond Platnum
3 . Irene uwoya
4. Anthony lusekelo
5. Mama rwakatale
6. Muna love
7. Lulu Michael
8. ....
9.....
10....
8)Esma

9)Snura

10)Shilole.

11)Batuli.
 
Back
Top Bottom