Da Lu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 1,210
- 2,833
HahaaaBinamu kuna bibi yuko mwananyamala palee!msikitini...!!!anawajua bongo movie balaa!
Huyo bibi nasikia ni kiboko kwenye dawa za mapenzi na chango la uzazi.
HahaaaBinamu kuna bibi yuko mwananyamala palee!msikitini...!!!anawajua bongo movie balaa!
...!!!!shoga tutaonekana wanga hapaa...!!!ndo maana vibongo movie vinaendaaaHuyo bibi nasikia ni kiboko kwenye dawa za mapenzi na chango la uzazi.
...!!!!shoga tutaonekana wanga hapaa...!!!ndo maana vibongo movie vinaendaaa
Kwenye chango la uzazi kweli kuna mdogo alikua hapati mtoto mda sana baadae alipatia kwa yule bibi,hata kujifungua alipitiliza lakini alivyoenda pale kapewa dawa jioni anapelekwa mwananyamala kujifungua!!!Huyo bibi nasikia ni kiboko kwenye dawa za mapenzi na chango la uzazi.
Hahahaaaa!!!! mjini hapa daah!Mimi nilipigiwa simu mdg wetu huyo aliyepata mtoto sasa,alimpeleka mwanawe alikua anaumwa vihoma vya kitoto hivi,sasa nafika nashangaa balaa...naambiwa kuna msanii katoka hapa sasa hivi....!!!wengine ndo tulikua tunashinda huko unapigwa chale hadi za matako unashangaa ukitembea wowooo linatikisika tu
Nipo binamu sijui uzee nao unapiga hodi hadi najifanya busy....we utabaki mawinguni binamuAhahah mwenznagu , nimeshavurugwa, binamu umepotea sana aiseh , jukwaa bila wanazengo nyie halinogi, tumetoka mbali
wengine ndo tulikua tunashinda huko unapigwa chale hadi za matako unashangaa ukitembea wowooo linatikisika tu
Hahahaaaa!!!! mjini hapa daah!Mimi nilipigiwa simu mdg wetu huyo aliyepata mtoto sasa,alimpeleka mwanawe alikua anaumwa vihoma vya kitoto hivi,sasa nafika nashangaa balaa...naambiwa kuna msanii katoka hapa sasa hivi....!!!
Mmmh hatariWanazengo mmezidi kulalamika, mnaletewa umbea badala ya kusikiliza tu mkapita mnaanza midomo kushindana na Mimi , hivi mnajua connection yangu ? , mnanijua vizur? , nyie shukuruni tu nipo humu nawapa umbea siku zinaenda, siku nikipotea humu mtalia na kusaga Meno, maana najua mnavyopenda umbea kuliko kula , mnajua na risk sana maisha yangu kujitoa kafara kuanika mambo ya watu halafu nyie mnakuja midomo juu juu kama nyuchi za bundi mxiee , mnaniudhi mbwa nyie mjue? Yan Tena mkome kuanzia Leo , eti mnajifanya mnanichamba mbwa nyie wakati umbea tu ndo umewajaa, Leo nawapa onyo mbwa nyie mnikome mxieww
Turudi kwenye mada wale mnaopenda umbea na kusoma kimya kimya bila comment za karaha, ifuatayo chini ni list ya mastaa wanaotumia nguvu za giza/uchawi /freemason katika kazi zao , mji mzito huu , duniani kuna mambo nyie acheni tu , list inastaajabisha lakini Ndo ukweli usiopingika, wengine sitawataja maana mpaka mikono inatetemeka kuandika
1. alikiba
2. Diamond Platnum
3 . Irene uwoya
4. Anthony lusekelo
5. Mama rwakatale
6. Muna love
7. Lulu Michael
8. ....
9.....
10....
Unamfahamu warumi ?Imekugusa eeeeh! Pole, Nikuzoe kwa lipi? Unanisaidia nn? Chambaa nikione hicho kichambo chako choko weee! Usinitishe nakuona fala tu, una nn ww? Mpaka ujilinganishe na mm, au una kunya keki unakojoa Juisi?
Nafanya kazi ya halali si muuza uchi, kazi kwako kauze kundu huko. Natafuta kiki kwa ID fake!
Chambaaaàa nataka ntembee uchi
Naenda kuweka simu chaji baadae ntarudi.
Kwenye chango la uzazi kweli kuna mdogo alikua hapati mtoto mda sana baadae alipatia kwa yule bibi,hata kujifungua alipitiliza lakini alivyoenda pale kapewa dawa jioni anapelekwa mwananyamala kujifungua!!!
Jaman binamu unanivunja mbavu , chale za matako Tena ?🤣🤣🤣🤣🤣, shoga angu ushirikina umekukaa kwenye damu , yan umejua kunivunja mbavu aiseeh
Halafu na waganga mwenzangu hawanaga siri , wakienda wasanii wakubwa lazima watangaze kwa watu
Nasikia uwoya ilikua ndo zake tanga , alikua anamuomba pesa dogo janja halafu hizo hizo anaenda kumroga nazo tanga
Yan uwoya kwa ushirikina kila siku anachinja mbuzi tu huko tanga , bora abadilishe tu waganga , anajichoresha tu huko tanga
Tunahangaika na mengi ndugu yangu ww acha tu lkn kuna kitu kilinitokea kwenye maisha yangu siamini tena awe mganga wa jadi au anatibu kwa kitabu simuamini. Kwasasa nimeokoka naamini sana kwenye kuomba, kufunga na kusali kwa Imani sifa na utukufu zirudi kwa Bwana.
Tunahangaika na mengi ndugu yangu ww acha tu lkn kuna kitu kilinitokea kwenye maisha yangu siamini tena awe mganga wa jadi au anatibu kwa kitabu simuamini. Kwasasa nimeokoka naamini sana kwenye kuomba, kufunga na kusali kwa Imani sifa na utukufu zirudi kwa Bwana.
8)EsmaWanazengo mmezidi kulalamika, mnaletewa umbea badala ya kusikiliza tu mkapita mnaanza midomo kushindana na Mimi , hivi mnajua connection yangu ? , mnanijua vizur? , nyie shukuruni tu nipo humu nawapa umbea siku zinaenda, siku nikipotea humu mtalia na kusaga Meno, maana najua mnavyopenda umbea kuliko kula , mnajua na risk sana maisha yangu kujitoa kafara kuanika mambo ya watu halafu nyie mnakuja midomo juu juu kama nyuchi za bundi mxiee , mnaniudhi mbwa nyie mjue? Yan Tena mkome kuanzia Leo , eti mnajifanya mnanichamba mbwa nyie wakati umbea tu ndo umewajaa, Leo nawapa onyo mbwa nyie mnikome mxieww
Turudi kwenye mada wale mnaopenda umbea na kusoma kimya kimya bila comment za karaha, ifuatayo chini ni list ya mastaa wanaotumia nguvu za giza/uchawi /freemason katika kazi zao , mji mzito huu , duniani kuna mambo nyie acheni tu , list inastaajabisha lakini Ndo ukweli usiopingika, wengine sitawataja maana mpaka mikono inatetemeka kuandika
1. alikiba
2. Diamond Platnum
3 . Irene uwoya
4. Anthony lusekelo
5. Mama rwakatale
6. Muna love
7. Lulu Michael
8. ....
9.....
10....