Wafahamu Mastaa wanaotumia nguvu za Giza / ushirikina

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,379
Wanazengo mmezidi kulalamika, mnaletewa umbea badala ya kusikiliza tu mkapita mnaanza midomo kushindana na Mimi , hivi mnajua connection yangu ? , mnanijua vizur? , nyie shukuruni tu nipo humu nawapa umbea siku zinaenda, siku nikipotea humu mtalia na kusaga Meno, maana najua mnavyopenda umbea kuliko kula , mnajua na risk sana maisha yangu kujitoa kafara kuanika mambo ya watu halafu nyie mnakuja midomo juu juu kama nyuchi za bundi mxiee , mnaniudhi mbwa nyie mjue? Yan Tena mkome kuanzia Leo , eti mnajifanya mnanichamba mbwa nyie wakati umbea tu ndo umewajaa, Leo nawapa onyo mbwa nyie mnikome mxieww


Turudi kwenye mada wale mnaopenda umbea na kusoma kimya kimya bila comment za karaha, ifuatayo chini ni list ya mastaa wanaotumia nguvu za giza/uchawi /freemason katika kazi zao , mji mzito huu , duniani kuna mambo nyie acheni tu , list inastaajabisha lakini Ndo ukweli usiopingika, wengine sitawataja maana mpaka mikono inatetemeka kuandika

1. alikiba
2. Diamond Platnum
3 . Irene uwoya
4. Anthony lusekelo
5. Mama rwakatale
6. Muna love
7. Lulu Michael
8. ....
9.....
10....
 
Nime screen shot uzi huu najua utafutwa na wewe lazima ule

We mbwa mwana haramu, usinizoee umesikia? Ntakuchamba mpaka uchanganyikiwe, achana na Mimi , naona unajipendekeza sana , Mimi sio type yako , kauze uchi wako huko , yani Tena iwe mwanzo na mwisho , naona unatafuta kiki kwa nguvu , ntakuchamba mpka utembee uchi barabaran
 
Kuna freemason na wapiga matunguli sasa wewe hapo umewachanganya wote freemason nawaona wawili tu hapo
 
Mentality za kimasikini hizi,hao uliowataja ni wakati wao kung'aa ila wakati wao ukiisha watakuja wengine ila kwa sasa ni wakati wao.Juma nature aliambiwa mchawi na mama yake ndiye anayemfundisha (refer Kalapina) baada ya kuujaza ukumbi wa Diamond mara mbili wakati akizindua album ya Ugali na Historia,leo Nature yupo wapi.
 
Back
Top Bottom