Uchaguzi 2020 Wafahamu baadhi ya Watia nia ya Ubunge wa CCM ambao hawakushinda katika kura za maoni lakini wamepitishwa kugombea katika majimbo yao

Hiki chama tangu wamteue mwandishi wa makala na mhojiwa wa BBC pamoja na watu walioigeuka katiba pendekezwa ya walioba, nilikata tamaa kabisa kama kweli hiki kitakuwa chama cha siasa au cha mtu
 
sasa unaongea, haya ndiyo maneno ya mtoto wa kiume - mtoto wa kiume huwa halii lii - ni mtu wa Action.

Karibu mezani, mwaga michoro!!
Mbinu zote za kupanga motekeo tuzikate tuziwe live hapa jamvini chadema jiandae kuchuku Nchi huu mwaka wenu
 
Mbona tumeshinda vizuri tunakubalika kwenye majimbo yetu wajumbe wametupigia kura tumeshinda vizuri kikundi cha watu wachate wakakata majina yetu tukiuza rama tumekosea?
Watu wachache ndio mzizi wa chama chenu
Ukikatwa katika bro usipanic sana
Mambo mengine muachieni Mungu Duniani kuna kupata na kukosa
Mjumbe/Mwenyekiti
 
Watu wachache ndio mzizi wa chama chenu
Ukikatwa katika bro usipanic sana
Mambo mengine muachieni Mungu Duniani kuna kupata na kukosa
Mjumbe/Mwenyekiti
Mimi pamoja na wenzangu tumeumizwa sana hatumuachi Munga hili liko ndani ya uwezo wetu
 
Yes naungana na wewe mwaFA na Kimei hao lazima watashinda. Ila Gwaji boy na Silinde kwishney mapema
Sio lazima Kimei na Mwinjuma kushinda ila wanaweza kushinda......Kimei ana mlima wa kupanda yupo Mbatia na ndoto za kuwa kambi rasmi ya upinzani bungeni na NCCR YAKE!
 
Duh umeniacha hoi kama Kuna watu hawajajua wewe ni mpinzani pure na umeandika mada ili kushawishi waliokatwa wadhani na wewe umekatwa kweli Basi nawapa pole...Ila pambana kwenye siasa Kuna mbinu nyingi
Unanicheka jinalangu limekatwa tuko wengi sana tusikubali kumuachia Mungu kuna madiwa wengi sana pia wamefanyia huu mchezo tusihame chama chetu mwendo wakuu za rama kwa maadui zetu
 
Sio lazima Kimei na Mwinjuma kushinda ila wanaweza kushinda......Kimei ana mlima wa kupanda yupo Mbatia na ndoto za kuwa kambi rasmi ya upinzani bungeni na NCCR YAKE!


Mbatia ni mwerevu sana lakini hapa alipotea njia kabisa.......................... kwanza hata hiyo NCCR YAKE sidhani kama ipo kabisa
 
Back
Top Bottom