Wafadhili wagoma kutoa hela wataka kujua wahusika wa epa ni maranda pekee|??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,722
21,775
Wale waheshimiwa wanaotoa misaaada kwa serikali yetu wametangaza
kusitisha kutoa fedha mpaka watakapotaka kujua swala la epa linaisha lini
wamesema wamechoka naupuuzi wa nenda rudi wa wahusika wa epa kwenda mahakamaani
nakurudishwa wakati wanajulikana na ushahdi wanao wenyewe
wakiwa na hasira wameomba serikali kuwafikisha mahakamani na kesi kujulikana mapema ama
waachiwe ama lah amechoka swala la kusikia wanapelekwa mahakamani na kuachiwa
wakati kuna watu wawiwli tu wamefungwa je ni hao ndio wahusika waku wa epa??
Macho uone
 
huu ni upumbavu, hawa wahisani sasa kama wanaona watuhumiwa wakouraiani wakati wao wanarudisha pesa za rada kwa nini wasizitumie kuwalipa mawakili ili waliohusika wachukuliwe hatua??? Hau na wao wamekasirika kulazimishwa kurudisha hela kwa serikali?
 
Wale waheshimiwa wanaotoa misaaada kwa serikali yetu wametangaza
kusitisha kutoa fedha mpaka watakapotaka kujua swala la epa linaisha lini
wamesema wamechoka naupuuzi wa nenda rudi wa wahusika wa epa kwenda mahakamaani
nakurudishwa wakati wanajulikana na ushahdi wanao wenyewe
wakiwa na hasira wameomba serikali kuwafikisha mahakamani na kesi kujulikana mapema ama
waachiwe ama lah amechoka swala la kusikia wanapelekwa mahakamani na kuachiwa
wakati kuna watu wawiwli tu wamefungwa je ni hao ndio wahusika waku wa epa??
Macho uone

Source p/se???
 
Pididy nakuheshimu pls, toa source mkuu habari hiyo ni kubwa sana haitaji kuishia juu tu ku discuss.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom