Waendesha bodaboda wasiovaa helmet kushitakiwa kwa kutaka kujiua

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,744
239,394
Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa mkoa wa D'salaam , Paul Makonda .

" Nimewasiliana na kamati yangu ya usalama barabarani mkoa , hili nitalisimamia kikamilifu , lazima wote wawe na helmet na wakikamatwa wote watashitakiwa , " alisema .

Chanzo - Mwananchi .
 
MAKONDA.jpg

aanze kwanza yeye,ndio shida ya kukurupuka
 
Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa mkoa wa D'salaam , Paul Makonda .

" nimewasiliana na kamati yangu ya usalama barabarani mkoa , hili nitalisimamia kikamilifu , lazima wote wawe na helmet na wakikamatwa wote watashitakiwa , " alisema .

Chanzo - Mwananchi .
Hili kiafya sidhani kama limezingatiwa la sivyo tutegemee magonjwa mengi ya ngozi kichwani ukurutu mapele mapunye na mba...tutaambukizana sana hapa kwa kuchangia helmet ambayo haifuliwi wala kusafishwa kwa siku nzima au pengine kila siku
Tunachangia vitu vingi kwenye mabar magesti hotelini saluni nk lakini at least vinaoshwa, vp kuhusu hizi kofia ngumu zitakazokutana na nywele za kila aina? Vipi kina dada na mawigi yao? Na hili joto la dar tutegemee mlipuko
 
labda kil mtu atembee na ya kwake. itabidi ata hewa iliotuzunguk kila mtu awe na baloon lake anahemea umo. na michepuko iachwe maana watu wana share sana nanilihi..
 
Mimi huwa sipandi bodaboda kwa sababu sitaki kuvaa helmet , naogopa maradhi .
 
labda kil mtu atembee na ya kwake. itabidi ata hewa iliotuzunguk kila mtu awe na baloon lake anahemea umo. na michepuko iachwe maana watu wana share sana nanilihi..
Natamani ungeelewa vema nilichoandika bila ushabiki wa kisiasa
 
tunaishi kwenye jamii sio rahisi kukwepa madhara kiasi.. ukila restaurant umetumia kijiko na sahani ya mtu hujui kama kimeoshwa vizuri, ukinunua soda ya chupa, kiwanda kilisafisha, asilimia ya watu kubwa sana wanavaa mitumba hujui kavaa nani.. nafkiri madhara makubwa zaidi ni kuepusha ajali. haya kiafya sasa sijui helmet ziwe zinasafishwa au zitafutwe disposables!
 
La mitumba liko out of topic kwakuwa ni utashi wa mtu kuvaa bila kufua huko kwingine vinaoshwa ishu ya kuoshwa vizuri ni nyingine lakini at least vinaoshwa
Kuvaa helmet hakuepushi ajali bali kupunguza impact ya ajali kichwani
Wengi akiwemo huyo Makonda hawakuwa na tafakuri ya kina kwenye hili
-vijana kwanza wafundishwe uzalendo na nchi yao kuwa ajali moja atakayosababisha itaitia hasara serikali kwa kununua vifaa tiba ambavyo vingeweza kuhudumia wengine
- wafundishwe hasara za kiuchumi kuwa serikali inatumia pesa ya kigeni kununua dawa na vifaa tiba
-hasara za kijamii wanaokufa ni mtaji wa Taifa na familia
-wajengewe uwezo kwa kupewa mafunzo maalum ya u dereva na si kama sasa kununua leseni kwa njia ya rushwa
Kama unadhani helmet linaepusha ajali please tafakari mara mbili
-Kibaya zaidi helmet nyingi siku hizi ni bandia tumeshuhudia helmet zikipasuka na kujaza ubongo kama bakuli
Zamani zilikuwepo helmet za ukweli siku hizi helmet inauzwa elfu kumi...Makonda anayajua haya?
Ni bodaboda wangapi wenye uwezo wa kununua helmet original kama hizi?
4e2c9fc07058e361eae70b163a2c8f6b.jpg
9170c81d9539af9d06dab5e912bcb30e.jpg
au nyie mnamaanisha zile helmet ushahidi kama hizi?
a32c15b8f439b0e93caa36e6077dd487.jpg
 
Back
Top Bottom