Wadungu nimegota nisaidieni -Configure PHP5 to Work with Apache | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wadungu nimegota nisaidieni -Configure PHP5 to Work with Apache

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MkamaP, Jul 2, 2008.

 1. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2008
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  nimefuata step zote hizi.Lakini mambo bado magumu.
  1.With the Windows Explorer, create the folder c:\webs\test. This will be our test website.

  2. Rename the c:\php\php.ini-dist to c:\php\php.ini, then make the following changes in the c:\php\php.ini file: (1) doc_root = "c:\webs\test" and (2) extension_dir = "C:\php\ext". Note that you should use BACKSLASHES in the php.ini file.

  3.In the file C:\Program Files\Apache Group\Apache2\conf\httpd.conf, change the DocumentRoot entry to: DocumentRoot "C:/webs/test". Note that you should use FORWARD SLASHES in the http.conf file.

  4.Also in the file C:\Program Files\Apache Group\Apache2\conf\httpd.conf, change the Directory entry to: <Directory "C:/webs/test">.Note that you should use FORWARD SLASHES in the http.conf file.

  5.Again in the C:\Program Files\Apache Group\Apache2\conf\httpd.conf file, add the following lines: hint: to find this position fast, search for "media types"

  6.Lastly, we need to make one last change to this C:\Program Files\Apache Group\Apache2\conf\httpd.conf file. Find the "DirectoryIndex" entry and add "index.php" to the end of the line as shown in this screenshot.

  7. In order for the changes to take effect, you need to restart Apache. To do this, click the Apache symbol in the lower right-hand corner of your task bar. In the little menu that pops up there, click Apache 2 and then Restart.

  Sasa step hizo juu nimezufuata kwa makini lakini nashindwa hiyo step ya saba ya ku restart maana symbol anayoingelea wala haitokei ,kwa namna nyingine php.index siipati.Sasa basi mwenye uelewa anifahamishe nini nakosa ama kuna kitu inabidi niongeze ktk faili ama la php ama la Apache.
  Shukrani kwa kunivumilia.
   
 2. JuaKali

  JuaKali JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2008
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 785
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwanza jaribu ku-turn off IIS, computer system nyingine hazikubali ku-run web server zaidi ya moja na IIS ndiyo default ya microsoft windows OS. Ikiendelea kugoma Jaribu kufuata link hapo chini ni step by step tutotial.
  http://minitutorials.com/apache/apache_222_2.shtml
   
 3. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2008
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  IIS nimeitafuta kule kwenye administrator tool(service) lakini siioni kitu hapo nielekeze kidogo.

  Pia ktk pitapita kunasehemu weshauri hiyo option yako ya pili niiongeze kwenye
  httfd conf file ktk "LoadModule php"sasa nashindwa niiongeze sehemu gani inamaana naweza iweka sehemu yoyote ile? ama kuna sehemu maalumu.?

  Mkubwa nashukuru kwa mchango wako.Na wengine pia wote
   
 4. JuaKali

  JuaKali JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2008
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 785
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kama bado inakutatiza kuna Installer package yenye kila kitu, Apache, php and MySql. Hakuna configuration zaidi ni ku-click itainstall kila kitu, ndani ya muda mfupi webserver itakuwa inarun.
  www.en.wampserver.com/download.php

  Goodluck!
   
 5. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2008
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135


  pole sana sasa wewe usiangaike sana maana nimefikilia naona hiyo syastem yako ina ugumu flani ambao inakuwa ngumu kukusaidia hapa kwenye net wewe download easy PHP simple to use and no configuration needed,its just some few settings.enjoy your time.
   
 6. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2008
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 509
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Jaribu ku test apache server yako kwa kufungua web browser (I/E or mozilla) na type http://127.0.0.1/ or http://localhost/ kwenye URL halafu bonyeza Enter. Kama unaona error, naomba uziweke hapa tuzicheki. Una Windows gani (Xp, 2003 server, Vista)?

  Vilevile inabidi ukopi file php.ini toka kwenye c:\php\ kwenda C:\WINDOWS\
  Bila hivyo PHP itagoma
   
 7. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135

  use Wampserver2....Xxamps ..mambo ya ku config .. siyo ishu tena,after all ni rahisi sana,,ila tumia hizo..
   
 8. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2008
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  wakubwa nawashukuruni sana nametumia wampserver 2.Rahisi sana .Nashukuruni tena tuzidi kusaidiana.
   
Loading...