Wadukuzi wa Iran, China na Urusi walenga Kampeni za Uchaguzi Mkuu Marekani

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Microsoft imesema Wadukuzi wenye mahusiano na Urusi, China na Iran wanajaribu kuwachunguza watu na makundi yanayohusika na Uchaguzi Mkuu

Kampuni hiyo imesema vikundi hivyo vya kigeni vimeongeza jitihada na wanalenga Kampeni za Rais Donald Trump na Mpinzani wake, Joe Biden

Imeelezwa kuwa mbali na Wagombea na Wafanyakazi wa Kampeni, Wadukuzi hao pia wanawalenga wale wanawaomba ushauri kuhusu masuala muhimu

Wadukuzi wa Urusi walioingilia Kampeni za Chama cha Democrat mwaka 2016 wanahusika tena kwenye udukuzi wa sasa

====

Hackers with ties to Russia, China and Iran are attempting to snoop on people and groups involved with the US 2020 presidential election, Microsoft says.

The Russian hackers who breached the 2016 Democratic campaign are again involved, said the tech firm.

Microsoft said it was "clear that foreign activity groups have stepped up their efforts" targeting the election.

Both President Donald Trump and Democrat Joe Biden's campaigns are in the cyber-raiders' sights.

Russian hackers from the Strontium group have targeted more than 200 organisations, many of which are linked to US political parties - both Republicans and Democrats, Microsoft said in a statement.

The same cyber-attackers also targeted British political parties, said Microsoft, without specifying which ones.

Strontium is also known as Fancy Bear, a cyber-attack unit allegedly affiliated with Russian military intelligence, the GRU.

What else did Microsoft say?
"Similar to what we observed in 2016, Strontium is launching campaigns to harvest people's log-in credentials or compromise their accounts, presumably to aid in intelligence gathering or disruption operations," said Tom Burt, a Microsoft vice-president in charge of customer security and trust.

The firm said Chinese hackers had launched attacks targeting individuals connected to Mr Biden's campaign, while Iranian hackers had continued efforts targeting people associated with the Trump campaign.

Most of the cyber-attacks had not been successful, according to Microsoft. The attacks have also not been launched on groups that handle the voting systems themselves.

"What we've seen is consistent with previous attack patterns that not only target candidates and campaign staffers but also those they consult on key issues," Mr Burt said.

"These activities highlight the need for people and organisations involved in the political process to take advantage of free and low-cost security tools to protect themselves as we get closer to election day."

Microsoft reported that Chinese groups had launched attacks on the personal email accounts of people affiliated with the Biden campaign, as well as "at least one prominent individual formerly associated with the Trump Administration".

"Prominent individuals" in the international affairs community, academic institutions and policy organisations were also said to have been targeted by the Chinese hacking group, known as Zirconium.

The Iranian group known as Phosphorus has unsuccessfully sought to access accounts of White House officials and Mr Trump's campaign staff between May and June of this year.

Microsoft was unable to determine the aims of the Russian, Chinese and Iranian hackers. Google said back in June that it had detected similar cyber-hack attempts by China and Iran.

Trump campaign deputy national press secretary Thea McDonald said: "We are a large target, so it is not surprising to see malicious activity directed at the campaign or our staff."

A Biden campaign official said: "We have known from the beginning of our campaign that we would be subject to such attacks and we are prepared for them."

The report comes a day after a whistleblower at the US Department of Homeland Security alleged he was put under pressure to downplay the threat of Russian interference in the US as it "made the president look bad".

Source: Russia, China and Iran hackers 'target US election'
line
 
Tatizo hapa ni moja kila mtu kaingia kivyake, yaani kila mtu ana vutia upande wake.
Wakati Urusi ikifanya kila liwezekanalo kuhakikisha Trump ana shinda,Upande wa pili yaani Iran na China wana fanya kila liwezekanalo kuhakikisha Trump anaondoka madarakani.
Hapa ndo ujue linapo kuja suala la masilahi hakunaga cha Urafiki , yaani huwezi amini kama Iran,Urusi na China ambao wamekuwa wakijinasibu kuwa marafiki ndio wapo wana pigana vikimbo kuhakikisha kila mtu analinda masilahi yake huku ya mwingine yakiharibika.
 
Jews ndio wanahusika kumuweka madarakani Rais mwenye maslahi na taifa lao hao wengine ni wakusingiziwa tu. angalia walivyomuweka TRUMP akautambua Jerusalem kama makao makuu ya Israel. na akamuweka mtu wao (Jared Kushner) kama ndio mshauri mkuu wa TRUMP.

angalia matokeo yake hapa chini halafu niambie hayo mataifa uliyoyataja yananufaika nini??

Kushner says Saudi Arabia, Bahrain to allow all Israeli flights to use airspace
 
Tatizo hapa ni moja kila mtu kaingia kivyake, yaani kila mtu ana vutia upande wake.
Wakati Urusi ikifanya kila liwezekanalo kuhakikisha Trump ana shinda,Upande wa pili yaani Iran na China wana fanya kila liwezekanalo kuhakikisha Trump anaondoka madarakani.
Hapa ndo ujue linapo kuja suala la masilahi hakunaga cha Urafiki , yaani huwezi amini kama Iran,Urusi na China ambao wamekuwa wakijinasibu kuwa marafiki ndio wapo wana pigana vikimbo kuhakikisha kila mtu analinda masilahi yake huku ya mwingine yakiharibika.
Haya sawa mtafiti wa maswala ya watu weupe
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom