Wadudu kwenye njia ya uzazi wa mwanaume

Nandinii

JF-Expert Member
Jun 19, 2019
2,573
2,808
Wandugu habari zenu

Madokta na washauri wa uku naombeni msaada wenu. Nina ndugu yangu wa kiume age imeenda kidogo, mpaka leo ana uhitaji wa kuitwa baba lakini imeshindikana. Wanawake anaishi nao lakini mwisho wa siku wanakorofishana wanaachana. Ameenda hospitali, amepimwa vipimo Ili kujua tatizo, daktari akasema kuwa ni mbegu zake hazina nguvu. Hazina uwezo wa kutungisha mimba kwa mwanamke. Akampa vidonge karibia 300 vya aina tofauti tofauti kutumia mwezi mzima. Lakini Hali bado ni ile ile.

Amerudi tena hospitali akafanyiwa vipimo tena, majibu ya daktari ni kuwa mji wake wa kuzalisha manii una wadudu ambao wanashambulia manii, asa mpaka zikija kutoka nje, basi zinakuwa hazina kitu na haziwezi kutungisha mimba.

Daktari anasema achague jambo 1, kama akubali kukaa ivyo ivyo bila mtoto maisha yake yote au lah akubali kufanyiwa operesheni kwenye mfumo wake wa uzazi, warekebishe Ili aweze kutungisha mimba.

Swali langu na ombi langu ni kwamba, naombeni mnisaidie kama Kuna mbadala ambayo itamsaidia Ili aweze kumpa mkewe mimba, aue ao vijidudu kwenye mfumo wa uzalishaji manii tofauti na operesheni?. Au kama Kuna mtu anamfaham daktari professional wa magonjwa ya uzazi kwa wanaume Ili aende, maana daktari aliyemuendea ni yule wa kutibu magonjwa yote tu, ndiye aliyemwambia ivyo.

Au lah akubali iyo operesheni walekebishe manii zake? Ili aweze nae kuitwa baba?. Maana hali yake ni ya majonzi sana na yenye huzuni nyingi baada ya kupata majibu ya hayo vipimo. Msaada wenu jamani.
 
Ajaribu kwenda hospitali kubwa akakutane na daktari bingwa huenda akapata msaada.

Lakini pia ajaribu tiba mbadala anaweza kusaidika.

Sina uhakika kama kuna wadudu wanaweza kukaa kwenye mfumo wa uzazi maana mazingira yake si rafiki kwao.
 
Ata sisi tunashangaa kwa kweli, ni bacteria gani hao wanaoshambulua mbegu kwenye kiwanda chake?
 
Sorry nilikuwa naomba msaada nina tatzo la kukosa hewa ya oxygen pindi napokutanq na harufu tofautitofauti na pia nikikaa kwa kuegemea kiti tatizo lajitokeza tena, pia nikikaa sehemu yenye watu wengi napatwa na tatzo hilo, inanilazimu kutoka nje na kurudi katika hali yangu ya awali

Lakini sikohoi wala kuumwa na kitu kingne zaidi ya kupumua kwa shida mpaka nitakapokaa kwenye upepo.
 
Wandugu habari zenu

Madokta na washauri wa uku naombeni msaada wenu. Nina ndugu yangu wa kiume age imeenda kidogo, mpaka leo ana uhitaji wa kuitwa baba lakini imeshindikana. Wanawake anaishi nao lakini mwisho wa siku wanakorofishana wanaachana. Ameenda hospitali, amepimwa vipimo Ili kujua tatizo, daktari akasema kuwa ni mbegu zake hazina nguvu. Hazina uwezo wa kutungisha mimba kwa mwanamke. Akampa vidonge karibia 300 vya aina tofauti tofauti kutumia mwezi mzima. Lakini Hali bado ni ile ile.

Amerudi tena hospitali akafanyiwa vipimo tena, majibu ya daktari ni kuwa mji wake wa kuzalisha manii una wadudu ambao wanashambulia manii, asa mpaka zikija kutoka nje, basi zinakuwa hazina kitu na haziwezi kutungisha mimba.

Daktari anasema achague jambo 1, kama akubali kukaa ivyo ivyo bila mtoto maisha yake yote au lah akubali kufanyiwa operesheni kwenye mfumo wake wa uzazi, warekebishe Ili aweze kutungisha mimba.

Swali langu na ombi langu ni kwamba, naombeni mnisaidie kama Kuna mbadala ambayo itamsaidia Ili aweze kumpa mkewe mimba, aue ao vijidudu kwenye mfumo wa uzalishaji manii tofauti na operesheni?. Au kama Kuna mtu anamfaham daktari professional wa magonjwa ya uzazi kwa wanaume Ili aende, maana daktari aliyemuendea ni yule wa kutibu magonjwa yote tu, ndiye aliyemwambia ivyo.

Au lah akubali iyo operesheni walekebishe manii zake? Ili aweze nae kuitwa baba?. Maana hali yake ni ya majonzi sana na yenye huzuni nyingi baada ya kupata majibu ya hayo vipimo. Msaada wenu jamani.
Nitafute please Kama upo tayar
 
Mboo inasimama au haisimami? Kama inasimama basi achana na mambo ya watoto, hawana msaada siku hizi watakupa stress za maisha bure! Wewe endelea kupiga shoo kama una shida na mtoto fanya adoption, okota mtoto wa mtaani awe wako basi, it is over
Huyo wakuokota hawezi kukupa stress?
 
Back
Top Bottom