WADJDA: Filamu inayochochea ukombozi wa mtoto wa kike

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Apr 16, 2021
334
657
Wadjda Binti wa miaka 10 anatamani sana baiskeli, wadjda hawezi kununuliwa baiskeli kwa vile jamii yake inakataza mwanamke kuendesha baiskeli, anaamua kujifua na kuingia kwenye mashindano ya kuhifadhi Quraan akiamini atakuwa mshindi wa kwanza na kujipatia pesa ambazo atazitumia kununulia baiskeli, wadjda anashinda lakini mwalimu wake anamkatalia kutumia pesa za ushindi kununulia baiskeli. anaondoka ukumbini akiwa na huzuni
uoande mwingine mama yake wadjda anakasirishwa na baba wadjda kwa kuoa mke wa pili, hasira zinamshika anaamua kuhamishia mapenzi yyote kwa binti yake na hivyo kuamua kumnunulia baiskeli licha ya kuwa zinapingana na tamaduni zao
kwa hiyo picha linaisha ameletewa suprize zawadi ya baiskeli ya kijani, wadjda anaendesha kwa kujidai anapiga misele ya hatari

wadjda1.jpg
wadjda2.jpg
wadjda3.jpg
wadjda34.jpg


wadjda1.jpg
wadjda2.jpg
wadjda3.jpg
wadjda34.jpg
 
Back
Top Bottom