Wadhamini wa Lissu waiomba Mahakama kutoa hati ya kumkamata Tundu Lissu

Mkuu sheria zinatungwa kukandamiza watu na kulinda madaraka.usifikiri sheria Africa ni utaratibu wa wastarabu.
Kweli wewe hujijui, yaani mtu anakiuka mashariti ya dhamana unasema anakandamizwa? Mbona alipewa dhamana kama sheria ni mbaya.
 
Na kweli! hiz takataka za Lumumba haziwezi kuona mantki ya watu wenye unasaba wa damu na Tundu Lisu kuomba kujitoa udhamini!
 
Hayo yanatoka wapi? Maana ishu hapa ni sheria za nchi.
Nimeshakuambia hizi sheria zinatumika kunyima haki watu wengine na kulinda madaraka na ndo maana sheria hiyo hiyo ya uhujumu uchumi Ina muweza kabendera gerezani bila dhamana wakati Lugola na wengine wakiishia kuhojiwa tu na polisi Ila kwa kuwa uko upande huo huwezi ona
 
Huo ni mtazamo wako.
 
Lissu asipogombea chadema na ACT waungane wamtafute mmoja ,either Zitto au Mbowe moja agombee
 
Back
Top Bottom