Wadau Yanga ni ya ngapi katika ubora wa vilabu Afrika?

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,445
4,704
WanaYanga wenzangu leo nimekatisha pale mitaa ya msimbazi na kuwakuta WAPENZI wa Simba wakijinasifu kuwa Klabu ya Simba ni ya 16 ktk ubora wa vilabu CAF. Yanga tukiwa Mabingwa wa Kihistoria je tunashika nafasi ya ngapi? Wachambuzi wa Soka hebu tuambieni.
 
Mtani ukisikia nyuzi za kichochezi ndio kama hizi sasa.

Siku hizi google imerahisisha ujue. Mb zenu tu Mtani basi jibu mtalipata. ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ
Mmmmh sijui hata kama hao Gugo wanaitambua Chura FC, waeza ingiza jina la Yanga ku search ikatokea jina la Zesco๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
 
Hao nao wamekosa cha kubishania badala wazungumzie michezo ya Kimataifa wao wanabishania namba.

Imewaongezea nini kwani hiyo namba 16 mpaka sasa angalau hata wangebishania mechi yao ya jana dhidi ya Mashujaa angalau tungewaelewa. Teh teh
 
U

Umejua kunichekesha asubuhi asubuhi Shadeeya, yaani tubishanie mechi na Mashujaa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Wale wachumba tu kwetu๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
 
Hao nao wamekosa cha kubishania badala wazungumzie michezo ya Kimataifa wao wanabishania namba.

Imewaongezea nini kwani hiyo namba 16 mpaka sasa angalau hata wangebishania mechi yao ya jana dhidi ya Mashujaa angalau tungewaelewa. Teh teh
Mtani kwa maneno haya nimeacha kubishania tena, Nawasubiri Pyramid
 
Kama mlivyobahatisha na nyie jana.๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ
Ukiwa wacheza ma mtoto usipanie saana, kamoja tu ka mkwezi kanatosha Shadeeya
 
Back
Top Bottom