Adimu
JF-Expert Member
- Aug 22, 2013
- 655
- 284
Baada ya kupata loss kidogo nikakaa benchi kujitafakari kidogo
Nilichogundua:
1/ Hakuna biashara isiyokua na hasara.
2/ Hasara inapaswa kuichukulia kama changamoto na utafute solutions ulipokosea.
3/ Ukiwa mfanyabiashara kuna kupata na kukosa.
4/ Utulivu na uvumilivu unaitajika sana ili kupiga hatua.
Sasa wananzengo wenzangu wa Forex nipeni moyo na ushauri nataka nitumie muda mwingi sana kusoma na kugoogle pamoja na kuangalia videos youtube ili niludi kivingine kwenye biashara yetu ya Forex. Karibuni