Wadau walalamikia uduni wa risiti zinazotolewa kwa waliopima Corona JNIA , yadaiwa hakuna control number , malipo ni cash

Lakini unawezaje kulipa ukapewa kikaratasi kama hicho? Mbona ukifika huko unakokwenda unatakiwa kuonesha certificate ya negative results sasa usipokuwa nayo unafanyaje? Unawapa hicho ki paid risiti?
Mkuu hiyo ni kwa aili ya vipimo vya kuingilia nchini.

Wameintroduce rapid test ambazo lazima upime uwanja wa ndege hata kama imekuja na negative results.
 
Ushahidi wa tuhuma hizi huu hapa

View attachment 1789771

Hii ndio risiti unayopewa baada ya kulipia vipimo vya COVID 19 kwenye uwanja wa kimataifa .

Mungu ibariki Tanzania .
Hapo lawama kwa nani sasa JPM au mbona hueleweki? Pili, kidole ulichokiruhusu kiende hewani pampoja na picha hiyo tayari kina 'expose' sura yako halisi kwa kutumia 'Imaging Synthesis of Human Anatomy' huu ni uzembe wa matumizi yasiyosahihi ya mitandao kwa kutumia utambulisho ghushi
 
Too late ! unawaza kuteka watu badala ya kuhangaika na content kwa manufaa ya nchi yako , Very poor ! nimekudharau sana !
 
Haya mambo ndio yanaleta hela mtaani, tuvumiliane ndugu zangu au nasema uongo ?
 
Too late ! unawaza kuteka watu badala ya kuhangaika na content kwa manufaa ya nchi yako , Very poor ! nimekudharau sana !
Wewe tangu mwaka 2020 ulishasema umenidharau mbona unarudiarudia? Haya thibitishi risiti uliyoonesha ilitolewa JNIA, mhuri sio uthibitisho yeyote anaweza kuchonga. Haya maandishi ya 'Paid' yanathibitisha ni mwandiko wa nani hapo ambaye ni mfanyakazi wa JNIA? Hiyo risiti haina taarifa za mhimu kuwa 'relevant & admissible'.
 
Hizi ndio akili za SSH, Rais anayesema hadharani na ku discourage wafanyabiashara kulipa kodi halali usitegemee wafanyakazi and watakuwa wema, kila mtu ataanza kuiba kwa urefu wa kamba yake.

Pili, hii sera ya kulazimisha rapid test ya COVID -19 airport wakati tayari mtu ana PCR negative certificate ni ujinga na ushamba, ni nini maana ya kumfanyisha mtu test mara mbili mbili, ili iwaje, ukimaliza hapo kama ni foreigner unaambiwa ukae 2 weeks quarantine, hizi ni akili au matope ? Foreigners karibia wote wanaokuja hizi third world countries wanaleta neema iwe mtalii au mfanyabiashara, unamuwekea visingiti vyote ili iwaje?
 
Wewe tangu mwaka 2020 ulishasema umenidharau mbona unarudiarudia? Haya thibitishi risiti uliyoonesha ilitolewa JNIA, mhuri sio uthibitisho yeyote anaweza kuchonga. Haya maandishi ya 'Paid' yanathibitisha ni mwandiko wa nani hapo ambaye ni mfanyakazi wa JNIA? Hiyo risiti haina taarifa za mhimu kuwa 'relevant & admissible'.
Sasa wewe hata hujawahi kutoka nje ya hicho chungu cheusi kinachoitwa Tanzania utajuaje haya mambo ?
 
Back
Top Bottom