Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Dah kweli WWE ilikuwa zaman
Kutana na mzee wa ndevu nyeupe-Hulk Hogan,Boker T, D generation X-Shawn Michaels na HHH,Cut angle, Cutting Edge,The Hardis-Jeff na Matt,the undertaker,big show,omaga(rip),Kane,Bobby lashley(nlimkubali sana huyu jamaa),aloo kale ni kale.
Kutana na Mzee wa misifa McMahon.
Hivi kuna tofauti gani ya wrestling ya zaman na ya Sasa...... Mbona wa kina CENA, Randy, undertake, Triple H, Kane.... Mbona bado wapo!!!!!! Na ni lazma waje Watu wapya....... Hata mpira wa Sasa hawachezi akina maradona
 
images.jpg
 
Mitz ni very coward person na ni muoga sana,hawezi tena kupata ule mkanda!.....Huwa anavizia siku Roman Reign amepigwa na mtu mwingine kisha anakuja kumshambulia in coward way!!
Hayawi hayawi hstimae yakawa..... Wako wapi wale waliosema Mitz hampigi Roman Reign......
 
Ndo nachek mkuu....... Wadau walisema metz hampig roman Reign, ila naona mzee baba kala kichapo heavy
 
Mi nilijua atashinda.... Maana alikuja serious haikawahi tokea...... Akammwambia reins nimekuja kuchkua mkanda wangu..... Watu hawakuamini
 
Daah basi nakushauri nunua king'amuzi cha dstv utakula raha za maisha na kukupunguzia stress za nchi hii
 
Back
Top Bottom