Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Bob Lashley juzi nimetokea bahati mbaya kumwona TNA, ilitokea nimekaa bar wakaweka channel yao.

Mzee wa spear huyu. Niliacha muda sana kuwaangalia WWE.
TNA huko ndiko chimbo la 2 la wanaotoka WWE
Johnny Impact (John Morisson) yupo TNA
Alberto De lio yupo TNA
Curt angle, samoe joe, bob roode, Draw na Aj styles wote wametokea TNA
Ikitoka WWE inafuata TNA
 
Ktk wrestling finish kali
1. Fin balor, ya kuruka na miguu
2. Msumali (R.I.P) ya the undertaker
3. R.K.O randy orton
4. Spear (Bob lashley, Golberg, Edge, & Roman reign
5. Triple H
Hizi ni finish kali ambazo ukiitumia mmoja wapo uhakika wa kushinda ni 99.9 na 1% ya kuchomolewa.
Anataka kusema finishing Kali kwa Sasa WWE ni ya Fin balor
 

Attachments

  • hqdefault.jpg
    hqdefault.jpg
    10.8 KB · Views: 152
Bob Lashley juzi nimetokea bahati mbaya kumwona TNA, ilitokea nimekaa bar wakaweka channel yao.

Mzee wa spear huyu. Niliacha muda sana kuwaangalia WWE.
Bob lashley alihamia ule mchezo wanaopigana ngumi na mateke na kuumizana sana, kule kwa kina conor mcGregor
 
Katika mechi kali nliangalia mpaka leo cjaona kama ile kati ya Daniel Brayan ,Rand orton na Batista aseeh bonge la mechi
 
Aseeh lile jitu linaloitwa brawn strowman linatisha kwasasa hakuna jitu lenye nguvu kama lile wwe
 
Back
Top Bottom