Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

mieleka ya ckuiz haina mvuto km zamani bana....watu wengi umu mmeanza kuifuatilia Itv.....mieleka kali ilikua kpnd iko inaoneshwa DtV dah aise wakna hulk hogan...shawn michaels ,under taker,flair.....awa wakna john cena wamekuja kpnd cha juz juz tu
 
mieleka ya ckuiz haina mvuto km zamani bana....watu wengi umu mmeanza kuifuatilia Itv.....mieleka kali ilikua kpnd iko inaoneshwa DtV dah aise wakna hulk hogan...shawn michaels ,under taker,flair.....awa wakna john cena wamekuja kpnd cha juz juz tu
Siku hizi imekua ya kichumba tu,ni Entertainment mwanzo mwisho.

Siku hizi hata mechi za tables,chairs,ladders sijui zile hell in cell hazina mvuto kabisa,damu haimwagiki ipasavyo
 
Wadau leo tupeane dondoo za Monday night
Screenshot_2018-01-15-21-06-32.png



Asuka ataweza kuiangusha hii jimama?? Usiku wa leo????
 
Kipindi hicho aiseee, Lex, Flair, Undertaker, Goldberg,...n.k
Triple H, Batista, ......Bob Lashley, n.k
Cena, Orton....., Hardy, 69, n.k

Nawaona ona tu hawa wa sasa....!

Bob Lashley juzi nimetokea bahati mbaya kumwona TNA, ilitokea nimekaa bar wakaweka channel yao.

Mzee wa spear huyu. Niliacha muda sana kuwaangalia WWE.
 
Yap Yap Yap Yap..... Or Yes Yes Yes Yes or Delete Delete Delete Delete.. Ipi style inayovutia
 
Ila mi Roman Reigns simkubali kabisa..... Ile staili yake ya finishing na ngumi wala haina mvuto
Ktk wrestling finishing styles kali
1. Fin balor, ya kuruka na miguu
2. Msumali (R.I.P) ya the undertaker
3. R.K.O randy orton
4. Spear (Bob lashley, Golberg, Edge, & Roman reign
5. Roba ya Samoe joe
6. Triple H
7. Finish ya Broke Lesner
8. Ya Dean Ambrose
9. Aj sytle
10. Dolph Ziggler
11. Ya shemus
12 . Shwan Michael ya boot
Hizi ni finishing styles kali ambazo ukiitumia mmoja wapo uhakika wa kushinda ni 99.9 na 1% ya kuchomolewa.
 
Back
Top Bottom