Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Kwenye mpambano na akina Finn balor huyu kijana wa Kurt angle Jason Jordan sikumuelwa ni kama alitaka Seth rolinns apigwe na Finn balor
 
WWF kipindi hicho ndo ilikua kali,siku hizi wanafanya upuuzi tu.

Najua watoto WWF watakua hawaijui.
 
Yule Daniel Bryan hakufanya fair kupanga Kelvin Ownes na Samy Zain kupambana na AJ Styles......... Sjui kwann wanamuonea AJ Styles
 
Kwenye mpambano na akina Finn balor huyu kijana wa Kurt angle Jason Jordan sikumuelwa ni kama alitaka Seth rolinns apigwe na Finn balor
hivi ile finishing style ya Finn balor ya kumrukia opponent kifuani inaruhusiwa kweli??.....Alimrukia Seth rollins juzi yaani Seth rolinns alilia kama mtoto!!
 
Kwenye mpambano na akina Finn balor huyu kijana wa Kurt angle Jason Jordan sikumuelwa ni kama alitaka Seth rolinns apigwe na Finn balor
Kale kajamaa kadaliti asee...... Alafu skapendi kanajifanya kanajua..... Unajua nn kanalzimisha kujiunga na kina Roman lakini hawakitak. .
 
Duu sisi wa enzi zetu wengi wametangulia mbele ya haki
Nilikuwa mpenzi sana wa mieleka enzi hizo za 80s mhengaaa
 
hivi ile finishing style ya Finn balor ya kumrukia opponent kifuani inaruhusiwa kweli??.....Alimrukia Seth rollins juzi yaani Seth rolinns alilia kama mtoto!!
Ile hairuhusiwi mzee..... Maana vile unaeza ukaua..... Ila ye alichukulia advantage refa alikuwa bize na mambo mengine...... Ila mi nilifurahi sana waliposhinda
 
tarehe 10 january 2018 ilikuwa brock lesnar na Braun strowman . kapigwa strowman kama mliona
 
Kama kawaida wakuu...... Na wadau wote ambao tunapenda kufatilia wrestling hasahasa WWE ambapo mwaka huu inatimiza miaka 25 tangu ilipo anzishwa...

Uzi huu ni maalum kwa ajili ya kupeana updates za kinachoendelea katika ulingo huu murua wa wrestling....

Bila kupoteza muda najua wadau wote wa WWE tuna subiri kwa hamu siku ya jumapili tar 25 Jan 2018 pale tutaposhuhudia msimu wa 31 wa Royal Rumble 2018.

Msimu huu utakuwa wa aina yake kwani kwa mara ya kwanza Katika historia ya WWE kutakuwa na Royal Rumble ya kina Dada...

Haraka haraka nikudokeze kuwa Royal rumble ya msimu huu itahusisha wanaume 11 Na wanawake 18.

Miongini mwao kutana na Bingwa wa Royal rumble mara moja JOHN CENA ,
Wengine ni Bingwa Mara mbili wa Royal rumble na pia ndo anatetea taji lake alilotoa mwaka Jana Randy Orton, kuna akina shinsuke Nakamura, Brock Lesnar, Samoa Joe, Matty hard, Elias na Wengine wengi.

Upande wa kina Dada kutana na mwanadada machachari ambae kupigwa kwake ni vigumu mmno si mwingine bali ni mjapani Asuke, pia kuna akina Natalia, Naomi, Carmela na Wengine kibao....

Baadhi ya mapambano yenye mvuto siku hiyo ni lile litakalo wakutanisha Brock Lesnar akipambana na Brownstromen na Kane... ..kama tulivyoona wiki hii Brown stromen aliwaangushia jukwaa kubwa la ngazi za chuma Kane na mwenzie Brock Lesnar kupelekea kupandishwa kwenye ambulance wakiwa hawajitambui......

Swali ni je Brock Lesnar atawapiga Kane na Brown stromen.... Stay tuned.........

Pia kuna wale jamaa wasio patana miaka yote.... Kevin Ownes na mwenzie akipambana na AJ Styles, tumeshuhudia mwezi huu AJ Styles kupigwa na kila mmoja wao...... Lakini akalalamika kuwa amekuwa akionewa kwani wamekuwa wakimchangia.... Hii ikapelekea meneja awapangie pambano siku ya jumapili... Sasa je itakuwajeeeee..... Utamu huo......


Haya karibuni wadau Wengine tuliendeleze jukwaa letu hili la wreath..... View attachment 675501


View attachment 675502
Star times ni namba ngapi?
 
Back
Top Bottom