Wadau Wa Wrestling Mpo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wadau Wa Wrestling Mpo?

Discussion in 'Sports' started by senator, Feb 12, 2008.

 1. senator

  senator JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2008
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Nimekuwa nikifwatilia kwa karibu sana hii michezo ya mielekea kupitia vituo vyetu vya kizawa na vile vya nje kama DSTV kuona hii mieleka.Nachotaka kujua kwenye Wrestring either iwe Smackdown,raw au ECW..je kuna ukweli wowote katika kule kupigana au kuna exaggeration inafanyika,ile damu mtu anayotoka ni kweli kwa kichapo au wanawekewa damu kama za kwenye movies??...sometimes kwnye hii TNA( total non stop Action) ndo kabisa sipati picha kama wanaumiza vile kisa ni mchezo?na je wanalipwaje hawa watu..sijawa na details zao za kimalipo...

  Kwa mdau wa mchezo huu mwenye details naomba kupata ufahamu zaidi

  Wabeja sanaa..
   
 2. P

  Pakupaku JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2008
  Joined: Nov 15, 2007
  Messages: 255
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Senator huu mchezo wa wrestling, huwa wanapigana kwa mtindo wa kutoumizana, na wanapoumizana na kutoka damu ni mmoja katika accident za mchezo huo ambao, inategemea kama mchezaji huyo kama anaweza kuendelea. Na hawa wachezaji huwa wanalipwa hela nyingi sana kutokana na vipaji vyao vya stamina na talent.
   
 3. senator

  senator JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2008
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Ila sometimes naona kama wanakuwa hapo fair..kuna jitu kama The Great Khali unakuta anapigana na Ray Mysterio wale kwanza hawana proportionality yoyote..hapo ni wazi kuwa wataumizana tu...kwa hiyo game zao hazina category ya weight navyoona..si kama kwenye Boxing.

  Kingine haya matumizi ya vitu kama kiti,rungu, nyundo etc inakuwaje kwa usalama wa mchezaji?hata ukitumia pain killer lakin ukitwanga na lile rungu kama la finlay au nyundo ya Triple H maumivu au jeraha lazima ulipate..thats why sometimes naona kama sio real thing happening in the ring
   
 4. mtuwawatu

  mtuwawatu Senior Member

  #4
  Feb 12, 2008
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hey,
  Wrestling is fake,illusion,hoax,whatever you would like to call it. Everything is pre-plan,like the winner, the way fans celebrate. Its written before play.However during play wrestler makes some mistakes, where other get serous injuries, and even lost their lives. Any way even moves are fake but we still enjoy them. I will try to cite some references for you.
   
 5. senator

  senator JF-Expert Member

  #5
  Feb 13, 2008
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  I'll appreciate if u send me those sites


  Dah thanx man of the people aka mtu wa watu kwa kunifumbua maana nilikuwa napata wasiwasi nao huu mchezo ila tunaenjoy kweli kiasi kwamba watoto mtaani wanajipa majina tu ya john cena..So inakuwa kama michezo ya kuigiza vile mnafanya mazoezi ya kutosha then mnaingia jukwaani kuburudisha watu..i don believe kama hii ya last week royal rumble ilikuwa imepangwa John Cena awe champ!?Ila swala la kutrain naona hata wao wanalizungumzia kwenye advert zao....they have took some years of training to be professional wrestlers
   
 6. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #6
  Feb 13, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Hii mijamaa imeshiba sana na ina maguvu kama mimi vile. Wanalipwa, sema kama alivyosema mtuwawatu; wanakuwa trained ili wasiumizane vibaya. Huwa kunatokea makosa wanajikuta midadi inapanda na mwishowe wanaumizana vibaya sana. Makelele ya mashabiki mabaya sana.

  Halafu kwa hint nilopewa na jamaa mmoja (sina hakika kama ni kweli) ni kuwa kuna matajiri wanakuwa kama wanawamiliki, wana-bet nani atashinda na kila mmoja anahakikisha aliye upande wake anashinda kwa namna yoyote iwezekanayo.
   
 7. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #7
  Feb 13, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Mkeo akiingia huku omba talaka. Maana kama akiwa kama hawa wadada basi siku ukimtibua anaku-John Cena kama inavyoonekana hapa chini.

  [​IMG]

  au hivi chini:

  [​IMG]

  na mwishowe anawabamiza wifi zake namna hii chini:

  [​IMG]
   
 8. senator

  senator JF-Expert Member

  #8
  Feb 14, 2008
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Bouncer kama huyo mdada noma kuwa mkeo unaweza kufanywa mume bwege hapo..kupika wewe..kufua wewe..na ole wako ufanye ubishi!!..Shukrani for pics Invisible..
   
 9. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #9
  Feb 14, 2008
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Wrestling is real. I have noticed that all the hits look very fake, but when they show it at a different angle you see that they do connect! o.k., many things such as people bumping into each other and arguing about it, or news of people bing stabbed or hurt by another wrestler is just part of the storyline. that's fake and scripted., but the in ring action is 100% authentic. A lot of it may look fake but all is real. there are very few scripted matches. I'll admit that. but don't listen to people who say fake fake fake, because just because there is a little acting and fake matches doesn't change the fact that it is real!

  Soma hapa.

  http://wiki.answers.com/Q/Is_wrestling_fake_in_any_way
   
 10. mtuwawatu

  mtuwawatu Senior Member

  #10
  Feb 14, 2008
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Its fake man, those are answers combined from different contributors, like us here, but still its fake, around 2003 there was a documentary mostly in ESPN, for sometime, it was about wrestling, they interviews diff ppl, from participators, sponsor, even spectators, its fake, if somebody get killed or serious injured its a mistake, but still its fake.
   
 11. senator

  senator JF-Expert Member

  #11
  Feb 14, 2008
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Nashawishika kuamini kutokana na maoni ya mdau huyo kutoka kwenye hiyo link.Kuna ile style moja anaitumia sana Undertaker kumalizia mtu a Rest in Peace ya kumbonda kichwa..kwakweli pale kama hakuna uwongo angekuwa ameshavunja shingo ya Batista mara nyingi..lakin kama alivyosema mdau tunaenjoy .Thanks for the link mfamaji
   
 12. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #12
  Mar 6, 2008
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  exactly kaka. thats why huwezi kuona wrestling wanaionyesha live kwenye TV.
  na hii inatokana wazi kuwa baada ya game wanakwenda ku edit mkanda then ndio unarushwa hewani.
  na waliokuwa mbele wamenithibitishia kuwa ukweli wa ule mchezo ni pale wanapokuwa wanaongea au mr mc mahon akiwa anatoka kwa kujishaua shaua.
   
Loading...