Wadau wa soka sijaelewa kuhusu Senzo aliyekuwa bosi wa Simba

wahid1

JF-Expert Member
Jun 26, 2014
225
279
SENZO alikuwa CEO wa Simba Sports Club na sasa amehamia Yanga (Dar Young African). Napenda kujua kule amekuwa nani, Katibu Mkuu, Mwenye Kiti, au nani. Hili swali ni kwa sababu Yanga bado wanatumia mfumo wa zamani hawana CEO. Naomba mnieleweshe.
20200823_181431.jpg
 
Aliyemkata mwenyewe hajui Senzo ana cheo gani zaidi ya kusema atasaidiana na viongozi
 
Yote haya yanakuwa entertained na wanachama pamoja na mashabiki wa Utopolo,huu ni ubadhirifu au utumiaji wa pesa hovyo
 
SENZO alikuwa CEO wa Simba Sports Club na sasa amehamia Yanga (Dar Young African). Napenda kujua kule amekuwa nani, Katibu Mkuu, Mwenye Kiti, au nani. Hili swali ni kwa sababu Yanga bado wanatumia mfumo wa zamani hawana CEO. Naomba mnieleweshe. View attachment 1546061
Kikubwa elewa tu kashindwa kufanya kazi na watu wa magumashi. Janjajanja nyingi za kubebwa na Tifuatifua.
Kaona aende kwenye weledi.
 
SENZO alikuwa CEO wa Simba Sports Club na sasa amehamia Yanga (Dar Young African). Napenda kujua kule amekuwa nani, Katibu Mkuu, Mwenye Kiti, au nani. Hili swali ni kwa sababu Yanga bado wanatumia mfumo wa zamani hawana CEO. Naomba mnieleweshe. View attachment 1546061
Huko ni mshauri mwelekezi wa namna ya kuijenga upya yanga ili iwe katika mfumo wa kisasa.
Sasa kutekeleza hilo amepewa hadidu za rejea kadhaa ambazo anatakiwa kuzitimiza katika kipindi fulani alichopewa.kwakuwa mkataba ni siri baina yake na yanga,sisi hatutauona
 
Back
Top Bottom