Siyo mbaya anaenda kuwaaga kwa amani maana tar 28 harudi tena magongoniWadau wa Sekta binafsi nchini Tanzania wanakutana na Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. leo katika ukumbi wa JNICC
Hivi kwa akili yako unadhani kuna ikulu ya huyo jamaa yenu ambaye ameshaadhibiwa kwa utovu wa nidhamu?? Jaama yenu kashapoteza sifa za kuwa kiongozi wa umaa. Hakuna kiongozi wa uma mwongo mwongo . hata jamaa yenu analijua hilo.Siyo mbaya anaenda kuwaaga kwa amani maana tar 28 harudi tena magongoni
Wewe wasemaHivi kwa akili yako unadhani kuna ikulu ya huyo jamaa yenu ambaye ameshaadhibiwa kwa utovu wa nidhamu?? Jaama yenu kashapoteza sifa za kuwa kiongozi wa umaa. Hakuna kiongozi wa uma mwongo mwongo . hata jamaa yenu analijua hilo.
Hatuna ikulu ya waliokwisha adhibiwa kwa utovu wa nidhanii.Wewe wasema
Mbona unaumia sana tatizo nini hebu tuliza kinyeo chako hukoHatuna ikulu ya waliokwisha adhibiwa kwa utovu wa nidhanii.
Anawaaga wadau wa sekta binafsi na kuwaomba msamaha kwa kuharibu biashara zao kwa miaka 5.Sawa kiongozi Kuna Nini???
Waache unafiki umeme kila siku unakatwa watu hatufanyi kazi, kazi nyingi zimechukuliwa na serikali kwa kifupi ameua sekta binafsi huu unafiki huu ndio unamfanya asiweze kujirekebishaWadau wa Sekta binafsi nchini Tanzania wanakutana na Mh Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. leo katika ukumbi wa JNICC kwa nia ya kumpongeza Kwa mafanikio ndani ya miaka mitano
Kweli kabisa kiongozi muongo kama alietudanganya kitambulisho cha machinga unaweza chukulia mkopo hatufai na hafai kuwa kiongozi wa uma.Hivi kwa akili yako unadhani kuna ikulu ya huyo jamaa yenu ambaye ameshaadhibiwa kwa utovu wa nidhamu?? Jaama yenu kashapoteza sifa za kuwa kiongozi wa umaa. Hakuna kiongozi wa uma mwongo mwongo . hata jamaa yenu analijua hilo.
Hawa wanatafuta fursa ya kuzitumia pesa zilizoko ndani ya uwezo wao wa matumizi 'they are opportunity seekers'Wadau wa Sekta binafsi nchini Tanzania wanakutana na Mh Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. leo katika ukumbi wa JNICC kwa nia ya kumpongeza Kwa mafanikio ndani ya miaka mitano
Kwani wewe una ikulu?Hatuna ikulu ya waliokwisha adhibiwa kwa utovu wa nidhanii.