Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wakuu samahan, hivi nikionacho pale ulingoni huwa ni kweli au janjajanja tu.?

Maana kwa hizo ngumi na kutupwa chini sijui kweli mtu anaweza kuamka asee.

Napenda sana mieleka kwa sababu huwa ni mbadala wa movie za kivita na ubabe ninazozipenda.
Niwekeni sawa hapa
 
Zote ziko scripted, yaani wanazijua wakati wanapiga wamekuwa wameshajaribu hizo moves zote na nini cha kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mkuu..zile ngumu ukipigwa we moja unaanguka hunyanyuki..wale nahisi wamekomaa ni manunda halafu huwa wanapimwa Afya zao kabla hawajaingia kwenye ile michezo,kama una ugonjwa wa moyo,upungufu wa damu,phobia nk huwezi kubaliwa.

Pia Yale maigizo jukwaani na Yale majibozano yanakuqa scripted, kila mchezaji ana script writer wake pale,so anapanga siku hiyo akiingia atafanya nini,ataongea nini.yote ni kuchangamsha umma na kuibua tukio jipya litalowapa hadhira hamu ya kujua kitachojiri.

Wanabamizana kweli, bila mazingira ulingoni si kama sakafuni,pale ulingoni si unaona kama board ambalo hata mtu akirushwa linanesanesa,chini kuna kava za kama masponji.bila ukimtupa mtu vile kwenye sakafu anapasuka moja kwa moja.so kunesa kwa like board LA jukwaa kuna punguza impact.

Asante sana asee.
 
Afadhali Randy Orton amekuja raw,sasa hivi atanyooshwa!
thetweenerkid_BwSluLzgv-0.jpeg
thetweenerkid_BwSluLzgVCq.jpeg
 
Back
Top Bottom