Kanyamulano
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 904
- 869
Axee hawa jamaa wamezngua kikubwa sio kidogoAisee mbona time hii hawaoneshi Wwe supersport8 kuna mabadiliko yoyote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Axee hawa jamaa wamezngua kikubwa sio kidogoAisee mbona time hii hawaoneshi Wwe supersport8 kuna mabadiliko yoyote
Mzee una mahaba sana na The ArchitectBurn it down!View attachment 976798
The Architect sasa hivi anamtaka dude a.k.a the beast!Mzee una mahaba sana na The Architect
Afadhali RUSEV alivyouchukua mkanda wa USA championship.... Maana Nakumura alikuwa anazingua tu..
Halafu kingine haikuwa rahisi WWE wakubali United States championship na SDL women's championship zote zikae kwa wajapani mda mrefu.Afadhali RUSEV alivyouchukua mkanda wa USA championship.... Maana Nakumura alikuwa anazingua tu..
Wewe huwa unafuatilia kweli? Natalya alipita kwenye mchujo nani wakukutana na ronda, walipambanishwa wanaweka wote na natalya akaibuka mshindi ndiyo kupangiwa pambano na rondaAnayeweza kutoa neno kati ya match ya maswahiba wawili Ronda Rowdy na Natalya aseme, maana machozi yale ya Ronda sikuyaelewa, na iweje WWE wawapangie match wakati wanajua ni marafiki wa damu?
it was rusev day!Kumbe jamaa kabeba eenh, me huwa ni mzee wa marudio nasubiri mida ya 2100hrs
Mkuu nafuatilia vizuri sana na huo mpambano nafahamu ulikoanzia, ni baada ya Ronda kutoa open challenge wanawake wote wakawa wanagombania kuingia ndipo Stephanie akaamua wachuane mmoja baada ya mwingine.Wewe huwa unafuatilia kweli? Natalya alipita kwenye mchujo nani wakukutana na ronda, walipambanishwa wanaweka wote na natalya akaibuka mshindi ndiyo kupangiwa pambano na ronda
Becky yuko very funny!....anacheka yeye mwenyewe!!
Mbabe wake ni rondaBecky yuko very funny!....anacheka yeye mwenyewe!!
royal rumble inakaribia mzee