Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Burn it down!
20181225_121041.gif
 
Anayeweza kutoa neno kati ya match ya maswahiba wawili Ronda Rowdy na Natalya aseme, maana machozi yale ya Ronda sikuyaelewa, na iweje WWE wawapangie match wakati wanajua ni marafiki wa damu?
 
Anayeweza kutoa neno kati ya match ya maswahiba wawili Ronda Rowdy na Natalya aseme, maana machozi yale ya Ronda sikuyaelewa, na iweje WWE wawapangie match wakati wanajua ni marafiki wa damu?
Wewe huwa unafuatilia kweli? Natalya alipita kwenye mchujo nani wakukutana na ronda, walipambanishwa wanaweka wote na natalya akaibuka mshindi ndiyo kupangiwa pambano na ronda
 
Wewe huwa unafuatilia kweli? Natalya alipita kwenye mchujo nani wakukutana na ronda, walipambanishwa wanaweka wote na natalya akaibuka mshindi ndiyo kupangiwa pambano na ronda
Mkuu nafuatilia vizuri sana na huo mpambano nafahamu ulikoanzia, ni baada ya Ronda kutoa open challenge wanawake wote wakawa wanagombania kuingia ndipo Stephanie akaamua wachuane mmoja baada ya mwingine.

Concern yangu ni kuwa, hakuna kitu WWE huwa kinatokea out of the blue, hata hii match haikuwepo accidentally kwa sababu Natalya alishinda, it was supposed to be that way, na hapo ndipo ulipo msingi wa swali langu.
 
Similar Discussions

11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom