Wadau wa Math's-IRINGA

masoudmwevi

Member
Aug 5, 2008
53
2
Waalim wa math's primary,sec,vyuo wamekutana mkoan Iringa kujaribu kubun mbinu za kuwafanya vijana wapende Hesabu
 
Me nlidhan hata wamegundua formular flan ambayo itakua aplicable ktk maths,kumbe wamekutana 2..hakuna k2 hapo.
 
Hakuna watakachofanya hapo. Baadhi yao hata hesabu haipandi, wanababaisha tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom