Wadau wa Magari ,vp gari aina ya MITSUBISH OUTLANDER G

Adharusi

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Messages
13,595
Points
2,000
Adharusi

Adharusi

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2012
13,595 2,000
Wadau wa magari naomba muidadavue Mitsubishi outlander hii SUV body yake na muonekano umenivutia ..

Sasa nataka kujua ,udhaifu wake ni UPI katika safari ndefu na pia service zake ..na ubora wake
 
monopoly inc

monopoly inc

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Messages
2,117
Points
2,000
monopoly inc

monopoly inc

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2016
2,117 2,000
Picha bas na sisi wa huku Nanjilinji tulijue mkuu
 
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Messages
8,715
Points
2,000
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2012
8,715 2,000
Mkuu hii mashine mimi binafsi naikubali sana engine yake ni 2.4L kama harrier, nilienda siku moja car wash kuna jamaa alikua nayo akawa anasema alivyoitoa bandarini ilikuja na nusu tank yeye akaijazia full tank akaenda nayo hadi morogoro akaipiga misele na akarudi nayo mafuta bado yalikuwepo registration ya jamaa ni DRJ maana yake haina hata miezi miwili bongo nadunduliza ikifika $3500 naliagiza..kiukweli haya magari sio mengi nadhani spare zake hazitakua nyingi ila nitanunua hivyo hivyo likizingua spea nitapaki naagiza mbele ikifika naendelea na misele..
 
Attachments:

Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Messages
8,715
Points
2,000
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2012
8,715 2,000
Ulaji wake wa mafuta ni average 7.1km/l hadi 9km/l inategemea na uendeshaji wako wa mafuta tank la mafuta ni 60litre hizi ni data za mitandaoni
 
Adharusi

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Messages
13,595
Points
2,000
Adharusi

Adharusi

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2012
13,595 2,000
Mkuu hii mashine mimi binafsi naikubali sana engine yake ni 2.4L kama harrier, nilienda siku moja car wash kuna jamaa alikua nayo akawa anasema alivyoitoa bandarini ilikuja na nusu tank yeye akaijazia full tank akaenda nayo hadi morogoro akaipiga misele na akarudi nayo mafuta bado yalikuwepo registration ya jamaa ni DRJ maana yake haina hata miezi miwili bongo nadunduliza ikifika $3500 naliagiza..kiukweli haya magari sio mengi nadhani spare zake hazitakua nyingi ila nitanunua hivyo hivyo likizingua spea nitapaki naagiza mbele ikifika naendelea na misele..
Ahsante kwa ufafanuzi Jana hapa Dodoma nimemuona kuna MTU amepaki hiyo Mahakama kuu namba D ,ngoja nipambane niagize chuma
 
babalao 2

babalao 2

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
4,797
Points
2,000
babalao 2

babalao 2

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
4,797 2,000
Gari ya saiz hyo ambayo inakula wese kidogo ni ford escape
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
33,159
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
33,159 2,000
Ngoja waje kukupa mungozo...

Cc: mahondaw
 
Forum statistics

Threads 1,336,573
Members 512,661
Posts 32,543,979
Top