Wadau wa iphone smartphones mpoooo!

GreenCity

JF-Expert Member
May 28, 2012
5,616
4,260
habari njema, wadau wahitaji wa IPHONE smartphones, natarajia kuingiza mzigo wa iphone na bidhaa nyingine toka US tarehe 12 july 2014. tayari nina iphone3GS za kutosha na offer yangu ni @ Tsh 295,000/= tu. ni almost mpya lakini sio toka dukani directly, ni unlocked, plus cable zake, plus charger na earphones zake!

for the intereted, please, place your ORDER now, right here au inbox me!

Z
 
vipi kuhusu tablet kaka?

Tafuta Iphone 4 na 4S

mkuu naweza kukuletea Iphone 4 kwa 470,000/= na iphone 4S kwa tsh 600,000/=, ukiwa tayari naomba order yako mkuu Belo
nb: zote ni full unlocked!
 
Last edited by a moderator:
iphone na sumsang ipi ni nzuri zaid

mkuu umla inategemea unaringanisha iphone ipi na sumsung ipi! lakini kiujumla idevices (bidhaa za apple) are the best!
 
Last edited by a moderator:
powa. ila ingekuwa powa sana kama ungekuwa na blog angalau. tuweze kutembelea mara kwa mara

asante kwa ushauri mkuu, ila mie si mfanya biashara hiyo ila ni ka fulsa tu kametokea kasafari ka US ndio nikaona nisije mikono mitupu!
 
habari njema, wadau wahitaji wa IPHONE smartphones, natarajia kuingiza mzigo wa iphone na bidhaa nyingine toka US tarehe 12 july 2014. tayari nina iphone3GS za kutosha na offer yangu ni @ Tsh 295,000/= tu. ni almost mpya lakini sio toka dukani directly, ni unlocked, plus cable zake, plus charger na earphones zake!

for the intereted, please, place your ORDER now, right here au inbox me!

up VZvha5tfEGjavZ2d Nahijaji mkuu, tafadhali zikija ni Pmj
 
iphone na sumsang ipi ni nzuri zaid

Iphone ni expensive kuigharamia ios you have to buy apps ila samsung its cheap to handle most of apps are free na zinakidhi mahitaji ya watanzania wengi android is the best... THTS MY VIEW
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom