Wadau wa Internet mko wapi?

Apson

New Member
Dec 7, 2007
2
0
Jamani hata kama maendeeo yamechelewa kufika kwa ndugu zetu wanaoichi maeneo ya mbagala,lakini isiwe kihivyo.
Kweli huwezi kuamini mtu akitaka kufanya mambo ya surfing mpaka apande gari kutoka Mbagala mwisho hadi Mtoni Mtongani mmmh!
Jamani hivi hakuna mjanja mmoja akatokea akaweka Internet Cafe maeneo ya Mgagala SabaSaba!!!!!!
Kwa kweli atakula vichwa mno,mfano mzuri tu ni ile shue iliyopo pale ya St.Antony.

Mwisho ndugu wadau wenzangu natafuta ofisi za huu mtandao wetu wa jamiiforums ziko wapi?
 
Ndugu yangu Apson umenichekesha sana, eti unatafuta ofisi za JF? Well, ofisi zetu ziko hapo hapo kwenye PC yako, kila tatizo ulo nalo we andika tu, utapewa majibu.

Kuhusu hilo la internt cafe, ni wazo zuri kwa wajasiriamali, limefika we ngoja tu baada ya muda utaona zitakuwa nyingi tu maana watu washakusoma hapa.

Karibu jamvini ndugu
 
Back
Top Bottom