Apson
New Member
- Dec 7, 2007
- 2
- 0
Jamani hata kama maendeeo yamechelewa kufika kwa ndugu zetu wanaoichi maeneo ya mbagala,lakini isiwe kihivyo.
Kweli huwezi kuamini mtu akitaka kufanya mambo ya surfing mpaka apande gari kutoka Mbagala mwisho hadi Mtoni Mtongani mmmh!
Jamani hivi hakuna mjanja mmoja akatokea akaweka Internet Cafe maeneo ya Mgagala SabaSaba!!!!!!
Kwa kweli atakula vichwa mno,mfano mzuri tu ni ile shue iliyopo pale ya St.Antony.
Mwisho ndugu wadau wenzangu natafuta ofisi za huu mtandao wetu wa jamiiforums ziko wapi?