Wadau wa Haki za Binadamu: Tanzania Ina Viashiria Vyote vya Ukiukaji wa Haki za Binadamu Serikali Ijitathimini

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Wadau wa Haki za binadamu nchini wamesema Tanzania ina viashiria vyote vya ukiukwaji wa Haki za Binadamu. Wametaka Serikali ijitathimini
 
Hilo walishaliona siku nyingi? Wanachotakiwa kufanya ni vitendo sio manenomaneno tu.
 
Wadau wa haki za binadam wenyewe naona wamepata ganzi hawana cha kufanya zaidi ya press release.
 
Haijafikia kuvunjwa, bado una uwezo wa kupumua. Hapa zinapindwa. Ikifikia kuvunjwa, itatuathiri wote, kwa kiwango kikubwa, na hapo hapatakalika. Kumbuka yaliyoleta mapinduzi ya Ufaransa.
 
Back
Top Bottom